magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

    Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako kwamba ni siasa. Mh Rais tuachane na hayo je miradi yako mikubwa inayotekelezwa kwa nini haina...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ifikie mahali tuelewe na kukubali kuwa Rais wa Tanzania ana uhuru wa kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi, na hakuna utaratibu wa kuzuia hilo kwa sasa

    Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo. Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
  4. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  5. JamiiForums Tanzania Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

    Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua...
  6. JamiiForums Tanzania Kama kwa haya tunayoyaona Rais Magufuli mbali na taratibu, pia anavunja katiba waziwazi vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona

    Kwa haya machache tunayoyaona, Rais wetu anavunja taratibu na kanuni waziwazi, vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona? Tutazame haya machache: 1. Nafasi 10 alizopewa kuteua wabunge alivunja katiba tukapiga kelele mmoja akajiuzulu kisha kupewa ubalozi. Hata hivyo kujiuzulu kwa huyo mmoja hakukumoondolea...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna "kakikundi" ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale TANROADS na anakatukuza sana, kulikoni?

    Haka ni kakikundi ka watu ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale Tanroads na amekuwa akikatukuza sana. Imefika hatua hata wakitumbuliwa huku wanapelekwa kule. Aidha wengine nimeona wakipewa hata utukufu usio wa kawaida. 1. Mhandisi John Kijazi. Huyu alikuwa pale ujenzi kama boss na Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameagiza Ifakara kuongezewa Kata na Halmashauri

    Rais wa Tanzania, John Magufuli. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza Halmashauri ya mji wa Ifakara kuongezewa kata na halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kubadilishwa jina. Ametoa maelekezo hayo leo Jumapili Novemba 3, 2019 na kumtaka Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo kusimamia...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Naanza kumpenda Magufuli. Kuna mambo hayasemwi kabisa kwa sababu maalum kumbe Magufuli ana haki kwa upande mwingine

    Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alivyotimiza ahadi alizotoa bungeni

    Kampeni za urais mwaka 2015, na wakati wa ufunguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 2015. Rais alihutubia Bunge kwa mujibu wa matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 91 ibara ndogo ya kwanza, inayomtaka Rais aliyechaguliwa kufungua rasmi Bunge hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

    Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
  13. JamiiForums Tanzania Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  14. JamiiForums Tanzania Four Years Later: My Reflection on President Magufuli: A Double Measure of Boldness and Dare

    (PictureTanzanian President John Joseph Pombe Magufuli) A petty dictator? May be! A benevolent overlord? Probably! An unusual kind of an African leader? Undoubtedly! A leader that Tanzanians longed for and finally got? You betcha! Since his election four years ago, President John Magufuli has...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kuona picha aliyo-edit Idriss afanya haya

    Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka. Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake mtafute wa kwenu wa kufanya sanaa kama hawa vijana wa kiume. Britannica
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kheri ya Kuzaliwa kwako Mheshimiwa Rais John Magufuli.

    Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna. Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
  17. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

    Wadau, President Magufuli is now 60 years old. Happy birthday to our great leader Dr. John Pombe Magufuli. May you live long
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Rais Magufuli ni mchapakazi, watu wa namna hii ni wachache sana, sisi tumepata neema

    Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli. Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema. Askofu Kakobe...
  19. JamiiForums Tanzania Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

    1-Zitto 2-lissu 3-Mbowe 4-Msigwa 5-Lema 6-Membe 7-Nape 8-Kinana 9-Makamba Jr na Sr 10-Abdul nondo 11-Mdude Chadema 12-Shangazi 13-Maria Sarungi 14-Mwele Malecela 15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa n.k Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo. Kama una ubavu jiunge...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

    Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa. 1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya? 2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji? 3. Kuna mkoa hauna mradi wa barabara? 4. Kuna mkoa hauna mradi wa umeme vijijini? 5. Kuna mkoa haujapata mradi wa ujenzi wa shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…