magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

    Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki. Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco. M Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama. Kajisahau sasa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi CCM: Rais Magufuli ametufanya tukipita tumevaa sare za chama mitaani tunashangiliwa kabla yake tulikuwa tunazomewa na kupigwa mawe

    Jumuiya ya wazazi wa CCM imetoa shukrani maalumu kwa Rais Magufuli kwa namna alivyoibadilisha CCM na kuifanya iheshimike mbele ya jamii. Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa haiwezekani kuvaa sare za chama ( CCM) mtaani kwani tulizomewa na kupigwa mawe lakini sasa hata tukipita mtaa wa Ufipa na sare...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ahimiza uwekezaji katika elimu ya sayansi

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amehimiza uwekezaji katika sayansi, hususani katika kipindi hiki ambacho nchi inajielekeza katika uchumi wa kati ifi kapo mwaka 2025. Aidha, Kikwete ametoa mwito kwa waajiri kuruhusu watumishi kujiendeleza kielimu isaidie kuongeza idadi ya watu wenye shahada. Alitoa...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli unazozitoa Rais Magufuli kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa maendeleo hayana chama, mbona inatofautiana sana na matendo ya Serikali yako?

    Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wasiige vyama vya upinzani wenyeviti wake Kitaifa kukaa madarakani muda mrefu?

    Si vibaya kujifunza kutoka kwa chama kikuu cha upinzani kwani mimi naona wanafanya jambo zuri sana kwa maslai mapana ya Chadema, kwani Freema Mboe atakuwa na miaka zaidi ya 30 ofisini. Hivyo CCM nao waige wampe Magu hata miaka 20 au 30 tu kama wanavyofanya vyama vya upinzani kwani huu uwe...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

    Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama. Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, nakuomba umteue Pascal Mayalla kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

    Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu. Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akerwa na Bilioni 1 kutengeneza Mitaro Igunga

    Rais John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Igunga kuhakikisha kesho anaitisha kikao cha dharura cha madiwani Igunga kwa ajili ya kubatilisha matumizi ya fedha kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja ambazo zilipitishwa na baraza la madiwani kujenga mitaro. Rais Magufuli amesema amewashangazwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kipanya:Bebi nimeahirisha ndoa yetu kwasababu ya Magufuli

    Kama hakukuoa awamu ya nne sahau ndoa hapo.
  14. JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tril. 58.3/- miaka minne ya Rais Magufuli

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Malecela- Rais John Magufuli anafanya kazi kubwa mno

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Magufuli la mashirika yasiyotoa gawio kwa Serikali latekelezwa ndani ya saa 24

    Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo. Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili mjini Kahama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wananchi walipwe bilioni 3.4

    Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania. Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu. Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilitaka kwenda kupiga kura lakini nikiwa hapa kanisani nimesikia mgombea amepita bila kupingwa hivyo nampongeza

    Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa. Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma. Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…