magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973

    Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania ametoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibari yanayotarajia kuadhimishwa siku ya kesho tarehe 26/04/ 2020. Katika salamu hizo Mh. Rais amewataka Watanzania wote kutumia maadhimisho hayo kutafakari Muungano huo ambao...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ataka wataalamu wa Kemia waje watueleze sintofahamu ya Fumigation na Barakoa baada ya kutafakari hotuba ya Rais Magufuli

    Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona. Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

    Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

    Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
  6. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

    Katika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete: 1) Kwamba Rais yuko Chato kwa muda mrefu sasa kwa kawaida Rais wetu Magufuli huenda Chato kwa mapumziko. hivi sasa ni muda umepita tunaona Rais yupo Chato...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 -- HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  9. JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

    Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM. Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Namfananisha Rais Magufuli na Mfalme Nebkadneza

    Nimemsikiliza leo huyu Mzee kwa umakini mkubwa ndiyo nimemwelewa vizuri kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa awamu ya 5 Ndugu na Daktari Joni Pombe Magufuli ni kiongozi si waajabu lakini nimemfananisha na Mfalme Nebkadneza ambaye yeye wakati wa utawala wake alikuwa anategemea wataalam wa mwili yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hawezi kujenga bila kuharibu?

    Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga.. Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona.. Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema.. Rais...
  14. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli afanya mabadiliko kwenye Sekta ya Afya kwa kumteua Mganga Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya

    Rais Magufuli ajitokeza, Afanya teuzi mbalimbali na kuboresha sekta ya Afya kwa kumteua Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali. Pia, soma: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania What Gado says about Covid-19 and Mr Magufuli

  16. JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais Magufuli na bwana Maakov Litzman Waziri wa Afya wa Israel juu ya COVID-19

    Katika hili janga la korona kuna hawa watu wawili wamenivutia. Rais Magufuli na bwana Yaakov litzman magufuli tunamjua ila Yaakov ni waziri wa afya wa Israel. Tatizo la korona lilipoingia Tanzania Magufuli alichukua hatua za haraka kuokoa umma wake kwa kufunga mashule. Baadae akasema watu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

    Rais wangu salamu kwako. Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako. Swali ninalokuuliza: Je, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine? Nimeuliza swali hilo kwakuwa bila ya kuhadaa wala kubwabwaja umenifanya mimi pamoja na Watanzania...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

    Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha. Wanasema nani mwenye kumfunga paka kengele? Ni muhimu sasa bila ya kupoteza muda zaidi wala kumung'unya maneno, tumfunge paka huyu...
  19. JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

    Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba. Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…