The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..
Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..
Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..
Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...
Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...
Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....
Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...