magufuli

  1. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Mambo ni moto Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Rais Magufuli mimi si lolote si chochote nitaendelea kukutii na kutangaza kazi zako!

    Kumekucha uchaguzi mkuu 2020 Waziri wa Tamisemi Jaffo amesema Rais Magufuli hana sababu ya kwenda Kisarawe kufanya kampeni kwa sababu kazi zake ni kampeni tosha. Jaffo amesema yeye si lolote si chochote lakini Rais Magufuli alimteua na kumkabidhi kwa maaskofu na viongozi wa dini wamuombee na...
  4. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajawahi kuwa na Mpinzani

    Ukweli usemwe tu. Kiutendaji, uwezo binafsi, ubunifu, uchapakazi, uzalendo ni vitu vinavyomuuza Rais Magufuli tokea awe mwanasiasa -- mbunge, waziri na sasa ni Rais Rais Magufuli hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo hayo. Akiwa waziri katika wizara mbalimbali uwezo wake...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majaliwa aanza kampeni kabla ya muda, amnadi Magufuli kwao Lwangwa, awaimbisha wananchi "Magufuli 5 tena"

    Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake, ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani. Hii si sawa, ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo yatakayoishangaza dunia Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo; 1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

    Hakuna kumung'unya maneno hali ya vituo vya kutolea huduma za afya (dispensary, vituo vya afya na hospitali) vya serikali vipo taabani katika kuhudumia wanyonge. Dawa hakuna, mabomba ya sindano hakuna, gloves hakuna etc, kiufupi hali ni mbaya sana. Kiufupi wanaochangia huduma mbovu katika vituo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

    Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais wa Zanzibar. Kadhalika mkutano huo utajadili na kupitisha Ilani ya uchaguzi ya CCM. Pia kanali...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utashuka kwa 5% katika miaka miwili ijayo, Wapinzani tumuunge mkono Rais Magufuli atuvushe!

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%. Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla. Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyalandu kwa Interview hii umepoteza uhalali wa kumkabili Dkt. Magufuli kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020

    Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi. Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa kupandishwa ndege. Katika majibu yake Nyalandu anaonyesha kujibu huku akimrefer raisi Magufuli kama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya. Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo. Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya maendeleo Tanzania twapaswa kumpongeza sana Magufuli, na kuna mambo ya kukandamiza demokrasia Tanzania twapaswa kumkosoa sana Magufuli

    Namchukulia Rais Magufuli kama yule tembo katika hadithi ya vipofu ambao waliambiwa wampapase halafu waeleze tembo ni mnyama wa aina gani. Baada ya kumpapasa vipofu walianza kubishana na hata kukaribia kupigana, kila mmoja akidai yeye yuko sahihi katika kueleza tembo ni mnyama wa aina gani...
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  16. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

  19. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitamchagua Magufuli tena kwani ametujengea uthubutu

    Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania. Fanikio hilo muhimu ni ari ya kipekee aliyotujengea Mheshimiwa Rais. yaani sisi sio wanyonge na kamwe hatutakiwi kuwa wanyonge...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM. Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia...
Back
Top Bottom