Bunge lapitisha azimio kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia kuitokomeza Covid 19

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,329
2,000
Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.

Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.

Chanzo: Star tv habari!

Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,023

Nasikia na Bunrundi walikuwa wanapanga kumpongeza wa kwao kwa kuishinda corona... sasa imemuondoa kwa ukaidi wake! Masikini mke wake anapambania maisha yake. Mungu amsaidie masikini apone angalau watoto wabaki na mama
 
Bwashee hapa hatuizungumzii Burundi!
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,562
2,000
Amesha tweet kwa niaba ya taifa kwa msiba wa aliyekuwa raisi wa Burundi?

Huyo hapo ..

IMG-20200609-WA0065.jpg
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,791
2,000
Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.

Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.

Chanzo: Star tv habari!

Maendeleo hayana vyama!
Wote viazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom