Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
1591859134388.png
 
Naunga mkono mshangao wa Msekwa.View attachment 1474791
Mwalimu alikua ni mtu wa haki sana, ana mapungufu yake ila alikua anamwaga point sana, yeye alikua kila akiongea anasisitiza mshikamano, haki, usawa.
Jiwe kila akiongea unasikia "hamkunipigia kura kamuombe msaada mbunge wenu wa upinzani", amejaa ego wananchi wakisema tunataka hiki anajibu "msinipangie mimi, sijaribiwi".

Tuna kiongozi tako haijawahi tokea toka nchi ipate uhuru. Leo anasema maendeleo hayataki chama, kesho unasikia wanachukua fomu wagombea wa ccm tu wengine wakienda wanakuta ofisi zimefungwa, anarudi tena mi ni rais wa wote sibagui, kesho ukisifia upinzani tu unasikia una kesi ya kuhujumu uchumi, amekaa anacheka tu na bichwa limejaa ka ziwa victoria.
 
Magufuli mwenyewe hataki.

Msekwa anawajibu wanatoa maneno ya kutaka na sio anayetaka
 
Sisi pia tunamshangaa msekwa kwa kauli yake.yeye alikuwa spika miaka mingi akisimamia umaskini wa kutosha kwa watanzania.leo tumempata JPM wa kutuvusha anasema anashangaa kuongezewa muda? Atulie Tena ale penseni taratibu
Huo ni upuuzi fulani tu! Burundi walimpa Nkurunziza cheo cha KIONGOZI MKUU, aanze kukitumikia, pindi atakapoapishwa Rais mpya. Ni kama vile, bila yeye Burundi haipo. Hicho cheo hajakionja hata kwa sekunde moja. Kafa!
Sasa jeeeee, hiyo nchi ndiyo mwisho wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sisi" Mimi siko kny hiyo Sisi yako nitoe kabisa.Heshimuni Katiba.Mkiona mnanufaika Na aliyepo mnataka hasiondoke ili muendelee kupiga hela.Katiba inasema miaka 10 iheshimiwe.Mimi sioni alichofanya kuwazidi wengine.Hata Mimi nikiwa Rais pia nitafanya Kwa uwezo wangu.When 10 is over aende
Sisi pia tunamshangaa msekwa kwa kauli yake.yeye alikuwa spika miaka mingi akisimamia umaskini wa kutosha kwa watanzania.leo tumempata JPM wa kutuvusha anasema anashangaa kuongezewa muda? Atulie Tena ale penseni taratibu
 
Mwalimu alikuwa anaakili nyingi sana pia shule yake na kukaa mjini na watoto wa mjini kabla ya kuwa Rais kulimsaidia sana kuwajua watu ikiwemo wanaomsifia kinafiki ili wapate Fursa.

Back
Top Bottom