magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

    Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania. Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba. Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Kamwelwe fanyeni haya juu ya zuio la ndege za Tanzania kwenda Kenya

    Nawapongeza kwa hatua zilizochukuliwa za kuzuia ndege za Kenya kutua nchini. Sitaki kuwachosha na maneno mengi, ila nimeona mazungumzo yameanza kurejesha safari, mimi nina wazo hili. Kwa kuwa kenya wameanzisha utaratibu wa kutubeep, tukiwapigia wanaomba tuongee tuyamalize, mimi nashauri ili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Magufuli ameshindwa kuuvaa urais.

    Ukifuatilia hotuba za JPM kiukweli hazina mpangilio na zinakosa mvuto kabisa. Nime- miss rais anayetoa hotuba zenye hadhi na uzito wa urais. Siku hizi sioni tena watu wakipapatika kumsikiliza rais. Badala yake watu wamekuwa wakiulizana "kuna boko gani limetolewa leo?" Hii ndiyo kusema kuna...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Magufuli kwa barabara yawatumbua mameneja wa TANROADS Lindi na Pwani

    Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara. Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
  6. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa matamshi aliyotoa akiwa Kilosa na Kilwa, Rais Magufuli anaweza kutoa kauli zitakazoiletea nchi matatizo makubwa wakati wa kampeni

    Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala. Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Magufuli - GDP

    Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania... Tazama... Here's a breakdown of the comparative GDP figures 2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B) 2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B) 2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B) 2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)...
  9. JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

    Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

    Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8 Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kibiti: Rais Magufuli aamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance

    Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
  13. JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  14. JamiiForums Tanzania Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

    Salaam wakuu, Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni? Naombeni...
  17. JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Salaam Wakuu, Je, MwanaJF gani yupo Lupaso? Rais wetu Mpendwa yupo hapo? Naomba Aje PM nimuuize maswali Mawili. Mimi nafuatilia Mazishi ya Marehemu Mkapa kupitia Online Youtube Channel ya JamiiForums. Lakini Kilichonitia Wasiwasi na Mambo yanayoendelea pale Kanisani Lupaso. Kiti alichotakiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pale Rais Magufuli anapomsifu Mkapa kwa demokdasia na utawala bora

    Jana wakati Rais Magufuli anasoma hotuba ya Tanzia juu ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, alizungumza mambo mengi mazito ambayo rais huyo aliyetutoka alilifanyia Taifa. Kwa kweli Mkapa ameacha alama katika nchi hii, yeye ndiye aliyesuka engine ya Tanzania ya leo tunayoiona. Yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Nimesikiliza mambo ambayo Rais Magufuli anayasema kuhusu Mkapa binafsi naona Mkapa ni shujaa mkubwa mno wa Taifa hili maana alianzisha mambo muhimu mno mpaka sasa na sisi ambao wengi hatujui tulijua hayo yalianzishwa na Mwl. Nyerere au Mzee Mwinyi kumbe ni Mkapa, pia naona yale maubabe aliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…