Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Salaam wakuu,

Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
1596021980061.png

Naombeni Muongozi
1596021478399.png

1596021673699.png

Huyu Mwamba kaenda wapi?
 
Jamaani! Unatakaje? Unataka kila kitu wanachofanya(SPU) tuwe tunataarifiwa humu? Hao unaowaulizia wamebaki wanamlinda Bashite na familia yake,na wengine wapo Dar wanafatilia nyendo za Lissu.
 
Mbona ni walewale wa siku zote jamani ama memory yako ina shida mahali unashindwa tunza kumbukumbu vizuri lol.
 
Nadhani wapo wengi, maana kuna kupata udhuru mmoja so mwingine ataendelea na kazi.
 
Ambae hayupo ni yule mweupe lkn hao mbona wapo takribani kila siku..!

Hata hivyo huenda jamaa kwa leo anatumbo la kuhara..😅
 
Back
Top Bottom