JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,332
- 11,735
Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli.
Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe?
Lissu anakosoa kila kitu alicho fanya Magufuli kule Chato ikiwemo Uwanja wa Ndege, Mbuga za Wanyama n.k.. Hii inamaana Lissu anafurahia kuona namna ambavyo Nyerere aliondoka na kuacha Musoma na Butiama haina Maji? Lissu anawivu na Magufuli kiasi kwamba haachi kumchafua? Je kwa kumchafua Magufuli atapata kura za kutosha kwenda ikulu?
Swali langu la Msingi ni hili. Lissu anatoka Singida, Akichaguliwa hatopeleka kabisa maendeleo pale Singida? .