magufuli

  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

    Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk. Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini na Serikali ya Magufuli imefanyia kazi components zipi za maendeleo?

    Katika kipindi hiki cha maamuzi na uwekwaji wa mustakabali wa Taifa ni muhimu tukarudi kwenye chambuzi na definitions mbalimbali zinazoelezea maana mtambuka (complex) ya maendeleo. maendeleo ni nini...? Itoshe kusema maendeleo ni jumuiko la mambo kadhaa endelevu yawe ya zamani au hata mapya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

    Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha kushinda uchaguzi ikiwa na maana kwamba asilimia kubwa anaamini anaweza kushindwa. Hii...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Uchaguzi huu ndio utaamua kama tuendelee au tusiendelee na Muungano

    Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika. Chanzo: Wasafi tv Maendeleo hayana vyama!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache. Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ampiga dongo Balozi Ali Iddi

    Amwambia pumzika na kaa mbali na Hussein Mwinyi
  8. Securelens

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Wapwa, Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili. Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wananchi mchagueni mgombea mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli

    Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli. Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe kura, maana wakifanya hivyo Magufuli atapita katikati kiulainii. Katika mahesabu makali ya upinzani...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nitapata tabu ya kumpata Waziri wa Ulinzi nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Live - Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dk. Magufuli akiwa Unguja leo

    TV zote zinaonyesha pia angalia hapa
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi Dkt. Magufuli usiku hurudi kujisikiliza alichoongea mchana kwa umma kabla hajalala?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala? Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale ambapo tukijipa muda wa kujisikiliza au kupitia matendo yote tuliyoyafanya kabla hatujalala hii...
  14. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Asante sana Raisi Magufuli, Dar-Arusha City!

    Hapa tukipanda treni yetu kuelekea Arusha City, ...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tusimchague John Pombe Magufuli !? Una sababu embu tuwekee hapa!

    Kwa upande wangu mimi ni kuzuia mambo ya siasa mikutano ya hadhara na kukubali kuwapokea mashehe wa uamsho kutoka Zanzibar waletwe huku Tanganyika, hivi mheshimiwa hawezi kujua mambo ya uwongo na mzigo huu sasa umeiangukia Tanzania nzima,waislamu walio wengi wanaikataa CCM mwaka huu kwa dude...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mlitakaje? Yani mnataka Magufuli awapigie debe wagombea wa upinzani?

    Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala. Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

    Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support. Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja. PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar PROMO:
  18. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachofanya CCM na Magufuli ni udhalilishaji kwa Watoto

    Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto. Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na Serikali ya CCM kumburudisha Magufuli na kuvutia umati kwene Kampeni. Shame on you CCM.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

    Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar. Source...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na uwezekano wa Magufuli kuongeza muda akichaguliwa

    Mpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa. Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili vuguvugu litaanzishwa wa watu watakaojiunga "Makada wa CCM". Dalili ziko wazi na zinathibutishwa na...
Back
Top Bottom