magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kadinali wa Kanisa la Roho Kazi ya Messiah asema Rais Magufuli apewe miaka 10 tena ya Uongozi

    KANISA LA ROHO KAZI YA MESSIHA WAFUNGA MWAKA KWA MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA HUKU WAKITEUA UONGOZI MPYA Na, mwandishi wetu Kanisa la roho kazi ya messiha afrika mashariki(ukanda wa maziwa makuu) lenye makao makuu mkoani mara ikoma wilayani rorya chini ya kadinari wa kanisa hilo Joseph Ariyo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

    Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki. Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara. Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani. Mara hiki mara kile. Mazingira yakishaanza tu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bernard Kamillius Membe ajiuzulu nyazifa zote ndani ya ACT Wazalendo. Kuwa mshauri wa kisiasa wa Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mahiri Bernard Kamillius Membe tarehe Mosi January, 2021 ataongea na dunia kijijini kwake Rondo Lindi. Duru za kisiasa kutoka kwa watu waliokaribu na kada huyo wa zamani wa CCM zinaeleza kwamba pamoja...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanikiwa - tuchangie ujenzi wa madarasa

    Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam! Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana. Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. “Nikiangalia hoteli...
  6. JamiiForums Tanzania Hiv Magufuli huwa anakunywa bia?

    Wakuu kwema? Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli? Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza daraja la Busisi limalizike kwa miaka 3 na sio 4. Awataka Wananchi kuongeza kulima

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanza kuishiwa na rasilimali watu - siyo kawaida yake kukaimisha

    Wanabodi, Salaam. Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020. Kwa ujumla iwapo Mkurugenzi huyo alikuwa na kasoro lazima atenguliwe kupisha wenye uwezo, ubunifu na wanaojali kuongeza mapato...
  11. JamiiForums Tanzania Hoteli ya Sugu: Wafanyakazi wa Serikali wanavyoisaliti Serikali ya Magufuli

    Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi. Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali. Serikali inaendeshwa na watu. Na watu hao maafisa ndiyo waliotaka watumie mgongo wa Serikali kubomoa Hoteli hiyo. Kwa wafanyabiashara...
  12. JamiiForums Tanzania Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

    Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali. Tukirejea miaka 5 ya kwanza ya Magufuli, DC Sabaya wa Hai, anaonekana alipewa "kazi" maalum ya "kumkaba"...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania State of the highest office; The Office of The President

    In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataweza kurejesha Azimio la Arusha? Tujadili

    Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere. Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

    Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo. Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani? Ni matarajio yangu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

    Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza. Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

    Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili. Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia. Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nisikilize kwa makini, Sitaki upoteze muda bure

    Kwa Mkono wa, Robert Heriel Heshima kwako, Mkuu wa nchi, Pole na hongera na Majukumu yako ya kila siku. Naomba uniruhusu nichukue muda wako kidogo kwa kusoma jumbe hii. Natumai hekima na busara yako hazitashindwa kuelewa nini nimekusudia kusema. Mara kwa mara nimekuwa nikikufuatilia katika...
  20. JamiiForums Tanzania CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    "Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni. ------ Chama cha CUF jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…