Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.
Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...