Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke.
Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
China imeanza majaribio ya kutumia roboti kwa ajili ya shughuli za barabarani ikiwa ni pamoja na kuongoza magari. Hata hivyo roboti hao hawana mamlaka ya kumkamata mtu pale anapokosea au kukiuka sheria.
Maroboti hayo yamepelekwa hasa kwenye makutano yenye shughuli nyingi ya barabara katika jiji...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani washitakiwa saba, wakidaiwa kuiba magari mawili wakati yakipelekwa Bandari kavu ya Vingunguti.
Washitakiwa hao ni Isack Natus, Samson Mwamoto, Daniel Noah, Adam Sufian, Michael Marwa, Fadhil Munisi na Tusho Kalambire...
Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda.
Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣.
Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini...
Toyota IST, Raum - Moja kwa moja unaonekana ni mtu unaebana sana pesa, kama huna taabu kuonekana hivyo si mbaya ila ndivyo utavyochukuliwa
Toyota Altezza - gari iliyojipatia umaarufu kutumiwa na vijana wadogo hasa miaka 18 hadi 26 wanaopenda drifting, kelele nyingi na kukimbiza barabarani, hawa...
Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa.
Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
Tunauza magari ya watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 15 tupo dar es salaam...
yapo ya rangi na size/muonekano tofautitofauti..
Unachaji siku masaa 12 na pia yanatumia rimoti,na mengine yana muziki kabisa piga 0627474141/0773474141
MNUNULIE MWANAO ZAWADI HII NZURI HASA MSIMU WA LIKIZO ATAENJOY...
MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI – MBEYA
Barabara ya Mbeya–Tunduma
12 Agosti 2026
Kwa:
Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani
S.L.P 260
Mbeya
YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA UENDESHAJI HATARISHI KWENYE BARABARA YA MBEYA–TUNDUMA
Ndugu Afisa Mkuu wa Usalama Barabarani,
Sisi, waendesha pikipiki na bajaji...
Naombeni mwenye maoni au ushahuri kuhusu magari autoe haswa kwa sisi ambao hatuyajui kabsa kwa kutowahi kuyamiliki lakini tunatarajia kuyamiliki.
Ushauri unaweza kuwa tutembelee website gan kuyajua magari? Jinsi ya kuagiza? Faida na hasara za kununua gari showroom?
Gari gani nzuri kwa...
Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari yao ili wakapate huduma sokoni.
Kero hizi...
Asubuhi ya leo nimetoka nyumbani Mapinga kuelekea kazini.
Kama kawaida nikakunjia Boko Magengeni kuelekea njia ya Mbweni JKT ili nikatokee Ununio hadi Kunduchi kuelekea Mwenge kwa njia ya kuingilia Clouds Media.
Nilikuwa na Escudo langu edition ya Singapore, niko kwenye mwendo wangu wa kawaida...
Habarini wakuu..
Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa.
Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama.
Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali.
Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea.
Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea.
Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk
...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa...
maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na...
Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani.
Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.