magari

  1. Kamanda Moshi

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

    Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba! WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza ushuru kwenye magari ili kuongeza mapato na kupunguza uchafuzi wa mazingira

    Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20 kwa magari yenye umri wa miaka nane...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapendekeza kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye vifaa vya kuchajia magari ya kutumia umeme

    Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini. Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza magari wa JF wanaishi dunia gani?

    Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika. Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa Magari na Mafundi Gereji: OBDII Diagnosis Scanners za Bei Nafuu!

    Wakuu, Kwa mafundi magari (mechanics) na wamiliki wa magari wanaopenda kufanya ukaguzi wa magari yao mara kwa mara, kuna OBD II Diagnosis Scanners hapa za bei ndogo. 1. ELM 327 Mini OBD II Bluetooth Scanner - Tsh 15,000/= -Hii ipo ya V2.1 versions -Inatumia Bluetooth, utadownload App kwenye...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU-Tabora, toeni taarifa kwa umma juu uchunguzi wa mhakiki mali (Muuzaji wa minada ya serikali ya Tabora) kuhusu kuficha baadhi ya magari

    Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
  11. X

    JamiiForums Tanzania BBC: "Watengenezaji wa magari duniani wanapata shida kushindana na China"

    Baada ya BBC kutembelea viwanda vya magari ya umeme Beijing na Hefei kisha ikatembelea Beijing Auto Show 2026, maonyesho makubwa zaidi ya magari duniani: "China imepiga hatua kubwa ya kiteknolojia, ubunifu, ufanisi na kasi ya maendeleo inayovutia na kutisha kwa wakati mmoja. Kiasi kwamba hata...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Uwekwe utaratibu wa kuweka Tozo kwa magari yanayoingia Katikati ya Jiji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume "Tumeruhusu kila aina ya usafiri kuingia barabarani. Nafikiri mliwahi kunisikia wakati fulani nikasema... nilitania tu, lakini nilikuwa namaanisha. Ni ule utani wa kweli kweli. Nilikuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yadi za malori Temeke zimekuwa kero, magari yanaziba njia, yanakata umeme, maafisa wa TANESCO wakija 'wanapozwa'

    Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua. Barua...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mali za aliyekuwa Spika wa Uganda, Anita Among ikiwemo magari yamebebwa na Polisi kufuatia kashfa ya rushwa na Ufisadi

    Mali za Spika wa Bunge la Uganda aliyemaliza muda wake, Anita Anneth Among ikiwemo magari yamebebwa na Polisi kuelekea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuendelea na uchunguzi kufuatia kashfa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Wakati hayo yakiendelea tayari Spika Among ametangaza rasmi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaojifunza magari VETA Mbeya, magari mengi ni mabovu

    Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali ituangalie. Magari mengi ni mabovu, kwa mfano wiki ya tatu sasa madereva wa malori wanazungushwa mtihani wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima

    Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye umiliki rasmi wa nyaraka. Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa vyombo vya usalama, hasa pale...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka? Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe wote niliowaona hamjitumi kazini hadi mnashindwa kumiliki magari na nyumba nzuri!

    Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha. Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

    Habari wapendwa, nichukue gari gani kati ya Toyota IST,Rush, Ractis,Raum au Spacio,..apo nazungumzia upande wa upatikanaji wa spaire zake na service
Back
Top Bottom