magari

  1. Trainee

    JamiiForums Tanzania Aliyepiga marufuku ngao kwenye magari hakufikiri kwa kina, marufuku hiyo hebu iondolewe mara moja

    Magari yawe na ngao bana, ebo!
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla wasitisha Autopilot ya bure kwenye magari yao mapya! Ukihitaji utaipata kwenye FSD kwa $99/month!

    Imekua officially. Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea. Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

    Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu. Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari ya China yazidi kupata soko la Afrika, sasa yamefika soko la Tanzania

    Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia imegubikwa na siasa za kijiografia na kuongezeana ushuru bila sababu, na kuzuia ufikiaji wa masoko ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

    Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo. Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ambulence hatuna ila magari ya bei mbaya ya polisi tunayo!

    Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hichi kifaa katika magari huwa kina kazi gani maalum?

  14. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Asilimia 36 ya Magari yanayotumia Morogoro Rd (Ubungo - Kibaha) ni Maroli ya Mizigo - TANROADS

    Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo. Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%. Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
  16. Clack-Sniper

    JamiiForums Tanzania Kwani Kodi za Kuagiza Magari zimeshuka?

    Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini Kodi zimeshuka?
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

    Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe. Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
  18. I

    JamiiForums Tanzania TUACHE KUWASINGIZIA MAFUNDI WETU WANAPOLALAMIKA UBOVU WA MAGARI YA KISADA

    Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe. Lakini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    Habari Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme. Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
  20. Clack-Sniper

    JamiiForums Tanzania Magari ya Hybrid Kama toyota Aqua

    Hello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje? Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l? Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa...
Back
Top Bottom