magari

  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

    Wakuu, Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena? Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini? Na ukiangalia...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kafulila atekeleza ahadi ya Ubia wa kukagua magari Kidigitali ni wa Sh. Bilioni 300 kwenye mikoa 26

    Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26 === Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasemaga Magari ya Nissan yamekaa kizee zee sana. Ona Nissan Z!

    Nissan Z ni bonge la Sport car, kwa waliojipata. Nasema waliojipata kwasababu hii inafaa kua second car, hauwezi itegemea kaa gari ya familia au ya kupigia misele daily. Hizo kwenye picha za juu ni latest gen ya 2022+ ila kama budget-wise unaweza kucheki gen ya nyuma yake Z370 Z Hii 370Z...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Lindi Mkoa mzima hakuna mataa yakuongoza magari barabarani!

    Tuachane na mataa. Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
  8. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Inasemekana kuna showroom ya magari MIKOCHENI imeungua moto je ni kweli?

    Nishazeeka nasikia tu stori sijui kitu wakuu, ninesikia Kuna mtu katajwa nikashtuka, inasemekana ndo mmiliki ila matatizo haya, sijafurahishwa, sababu naijua biashara inavo vuruga unapo pata hasara kama hizi
  9. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  10. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala - Dodoma litafaa kwa kuegesha magari

    Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia, itapata kodi ya kila gari linalo lala ikijenga na vyoo na mabafu pia itapata hela. Dodoma Nala hamna...
  14. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KERO Traffic wanaoongoza magari Masana ni chanzo kikubwa cha foleni, tunasimamishwa zaidi ya dakika 30

    Nyakati za asubuhi hapa jijini Dar es salaam kumekuwepo na utaratibu wa Askari wa usalama barabarani (Traffic) wanasimama barabarani hasa maeneo ya Crossway au sehemu zenye mataa ili kudhibiti uelekeo wa magari kwa lengo la kupunguza foleni lakini hali imekuwa tofauti kwani wamekuwa cha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  18. Fortyseven

    JamiiForums Tanzania Badala ya mafuta twende na daladala na magari ya serikal ya gesi na umeme

    Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa Hormuz? Au kwanini serikali isipitishe sheria kuanzia 2030 magari na daladala malori na magari ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wajaziwa maji kwenye magari badala ya mafuta

    Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri, Hata hivyo, jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limesema kuwa wanafanya uchunguzi ambapo watawashirikisha EWURA na...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
Back
Top Bottom