magari

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

    Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka. Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya kusomba madini Manispaa ya Iringa tunalipishwa ushuru mara 2

    Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja. Wakati huohuo Ofisi ya Mkurugenzi huchukua shilingi 300,000 kwa mwaka wakisema ni ushuru pia. Aidha, Ofisi ya Mkurugenzi huchukua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tsh. Bilioni 500 zinatengwa kwa Mwaka kwa ‘package’ ya magari ya Viongozi wakati Ambulance ni chache nchini

    FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa Uranium inayopatikana Tanzania: Nashauri tuanzishe mradi wa Magari yanayotumia NYUKLIA

    Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power. Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium. Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi). Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
  8. Royal Son

    JamiiForums Tanzania BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani

    🚗🏍️✨ BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani! ✨🏍️🚗 Epuka ajali kwa kuongeza uoni mpana zaidi wakati wa kuendesha! ✅ Inafaa kwenye Pikipiki 🏍️ ✅ Inafaa kwenye Bajaj 🚕 ✅ Inafaa kwenye Magari aina zote 🚗 ✅ Rahisi kufunga – bandika tu kwenye kioo ✅ Inaongeza usalama wakati wa kubadilisha lane...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: China haitegemei magari ya zimamoto tena

    China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo. Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na...
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    Habari Tanzania ! Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu. Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo; 1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
  11. Isanga family

    JamiiForums Tanzania Magari ya kutoka China yashika soko SA

    Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena. Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wanalala kwenye magari kwa ukosefu wa nyumba-Bristol city house crisis

    The Bristol renters 'pushed out' by housing costs Image source,Tamsyn Fallows Image caption,Tamsyn Fallows, 40, left Bristol after 17 years due to the mounting costs of renting. Former Bristol residents who have left the city due to "extortionate" rents have spoken out as new figures reveal...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, magari haya yanamudu barabara zenye mchanga mwingi?

    Habari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd. Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

    Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani. Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya za Nissan Dualis kuwaka moto… Sio tatizo la kiwandani bali uzoefu mdogo wa mafundi wetu kwenye magari ya Nissan hata ukizingatia service

    Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan. 1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Biashara kufanyika ndani ya Barabara yenye msongamano wa magari na Watu Gongolamboto, TANROADS na Manispaa ya Ilala mkoa wapi?

    Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa kuna foleni kubwa nyakati za asubuhi na jioni. Dalili ya kuongezeka kwa wafanyabiashara katika eneo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Back
Top Bottom