magari

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  4. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Rhond's company limited magari ya kukodisha/car rentals

    🚗 Drive your dream, endesha bila stress! With Rhond’s Car Rental — kodi gari popote, uende popote! call/whatsap us +255 655 633 302
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  6. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei. Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi. Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki. Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series...
  9. southernboy

    JamiiForums Tanzania TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

    TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI Unahitaji fundi umeme wa magari? Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati! Huduma ninazotoa: 🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis) 🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator 🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari 🔧 Programu na ufungaji wa computer...
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Ludewa zimesahaulika sana, mvua kidogo tu tayari hazipitiki na leo magari yamekwama huko

    Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi hiki cha mvua. Wito huo umetolewa na baadhi ya wakazi wa Luponde akiwemo Colbina Mligo ambapo...
  11. 888I

    JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 BBC Swahili: Wahudumu wa afya ikiwemo madaktari wameeleza kuna magari yamekuwa yakichukua miili na kuipeleka kusikojulikana

    Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana. === Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
  13. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mbona kama msafara wa Rais umebadilisha magari, kwasasa Rais anatembelea Range Rover?

    Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo. Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Raia wamekosa imani na magari ya serikali, ikibidi yasiwe tinted

    Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka. Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  17. DonDonald

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wadhibiti vurugu Ubungo Kibo, magari yakwama kwa muda

    Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, limedhibiti vurugu zilizokuwa zinafanywa na baadhi ya watu katika eneo la Ubungo Kibo kuanzia saa 4:00 asubuhi hii ya Oktoba 29, 2025. Watu hao walianza kufunga Barabara ya Morogoro kwa kupanga mawe na kuyarushia mawe magari yaliyokuwa yakipita...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Miradi kusimamishwa ili Magari yakabebe watu wa kujaza Mkutano wa Mwanasiasa

    Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata. Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
Back
Top Bottom