magari

  1. JamiiForums Tanzania Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

    Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje. Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania magari yaliyotumika nchini yanauzwa bei kubwa kulinganisha na iliyotumika nje

    Nilikuwa namsaidia mtu kutafuta ist au raum au run x iliyotumika nchini, bajeti ilikuwa 6.5 to 7m. Nikajisemea kwa bei hii atapata gari ambayo itakuwa imetumika mwaka au miaka miwili nchini na itakuwa nzuri tu. Matokeo yalinishangaza kidogo. Ukitaka kununua Gari iliyotumika hata 5 years nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Madereva / Waendesha 'Magari' hii 'Kitu' nimeisikia sana tu 'Kijiweni School' je, ina Ukweli wowote ule labda?

    Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

    .
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  7. JamiiForums Tanzania Huduma za Kutengeneza Magari

    Tupigie 0743 916 262 kwa huduma za Services za Engine pamoja na vilainishi vyake Services za Gearbox pamoja na vilainishi vyake Diagnosis Kunyoosha Body na Kupaka Rangi Tunapatikana Madale 6 pub njia ya kwenda Atlas Schools
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wa siku hizi ndani ya magari tofauti

    Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi zaid imebidi tuconclude yawezekana ana mishe mishe zake hatuzijui na venye wanawake wa sasa wamekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

    Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
  10. JamiiForums Tanzania Tuambie uongo uliowahi kuambiwa kuhusu magari

    Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata. Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

    Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

    Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa. Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi? 1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio, Honda Fit, Vitz new model: Wamiliki ya magari haya huwa waangaliku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata puti za magari kwa bei nafuu

    Wakuu naomba kuuliza ni duka gani Kariakoo naweza kupata katoni ya puti za magari kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani.
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wanayashikilia magari 25 kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kuyakamata magari 25 kwa kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali pamoja na gari jingine jipya aina ya Probox kukutwa likitumia namba ambazo zipo kwenye gari lingine. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Jijini Dodoma...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  17. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa magari nisaidieni, ninunue gari aina gani na rangi ipi. Nina milioni 12

    Wapendwa Nina milioni 12, ila nashindwa kufanya maamuzi, ninunue aina ipi ya gari na rangi ipi nzuri, wenye uzoefu mnaojua ambalo halili mafuta na siyo la kuchoka haraka. Asanteni.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nyumbu kuanza kutengeneza magari ya Zimamoto yatakayotumika hapa nchini

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema shirika la uzalishaji mali linalomilikiwa na JWTZ liitwalo Nyumbu litaanza kutengeneza magari ya zimamoto hivi karibuni Serikali itanunua magari ya zimamoto kutoka Nyumbu badala ya kuyaagiza nchi za nje kama ilivyokuwa awali Source ITV habari Maendeleo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Amani iwe kwenu wakuu! Kwa heshima na taadhima nimpongeze mheshimiwa Rais wetu kwa utekelezaji wa shughuli zake za kila siku vyema. Lakini pia nimpongeze kwa maamuzi yaliyokuwa magumu na ambayo wengi hatukukubaliana nayo kwanza ya kuruhusu watu waendelee na shughuli zao katikati ya janga la...
  20. JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya service ya magari

    Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…