magari

  1. SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
  2. Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

    Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
  3. RC Makonda: Dar es Salaam tumetenga hospitali 25 kuhudumia wenye dalili za Corona na mh Rais Magufuli ametupa magari ya wagonjwa 20 yote mapya

    Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona. Makonda amesema ukifika katika hospitali hizo utapimwa magonjwa mengine yote na ukionekana uko salama ndipo damu...
  4. M

    NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amekabidhi magari 12 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo ni sehemu ya magari 20 yalionunuliwa na tume ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu...
  5. Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
  6. Yajue Magari 5 yanayoongoza kuuzwa bei ghali

    Bugatti la voiture noire, inatajwa kuwa ndiyo gari ya gharama kubwa kuliko gari zote duniani, ikiuzwa kwa Dola 19 milioni za Marekani sawa na Sh43.7 bilioni. Gari hiyo inayotengenezwa nchini Ufaransa, ina uwezo wa kufikia spidi 300 ndani ya sekunde 13.3 na ina uwezo wa kukimbia kilometa 465...
  7. Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali za Serikali Kuu na Ushuru mbalimbali. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matatizo mbalimbali...
  8. N

    Wakongwe wa magari msaada tafadhali

    Nimeenda kwa fundi (Hapa Arusha) akaniambia gari yangu (VX-Diesel ya 2000 & Manual) imekufa vifaa vifuatavyo; 1. Booster ya Break (tatizo: ukikanyanga break gari ikiwa on inafanya kama inapiga mluzi (mpaka ukanyage na break pedal ifike nusu ya kugonga kwenye bati ndipo hunyamaza), ila break...
  9. Jiajiri kwa kuwa dalali wa kuuza Magari

    Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako wewe kuingiza kipato cha ziada kwa commission Jifunze leo kuhusu namna biashara hii inavyofanya na...
  10. Je, inawezekana taa za barabarani kuongoza magari kuliko kukaa trafiki?

    WANAJAMVI, hebu leo tujumuike kujadili hili swala la barabarani ambalo imekua kero kwa muda mrefu sana. Kitu kimoja ambacho mimi huwa kinanitia hasira ni jinsi traffic wanavocontrol juntion kwa upendeleo, yani kama wale tunaopita njia ya morrocco kwa kuelekea kawe ni matatizo mkuu, unaweza kukaa...
  11. Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

    Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake. Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe...
  12. Miundombinu mibovu yakwamisha magari 100 barabara ya Dodoma - Iringa

    Magari zaidi ya 100 yamekwama katika eneo la Mpunguzi jijini Dodoma nchini Tanzania kwa zaidi ya saa nane baada ya magari matatu ya mizigo kunasa kwenye tope kutokana miundombinu mibovu ya barabara iliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Februari 4...
  13. Yafahamu magari ya bei nafuu unayoweza kununua Tanzania

    Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo: Toyota Vitz, IST, Raum, Passo, Run X Mark II, Grande,Altezza Cresta, Brevis, Nissan X - Trail haya bei zake huanzia...
  14. Mwendokasi: Je naweza pata 'live' data ya location ya magari?

    Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data? Mchango wowote unakaribishwa
  15. Magari aina ya Mark II na mrithi wake

    Na Bwa. Godfrey. Miaka a 1960 Kampuni ya Toyota ilianza kutengeneza magari aina ya TOYOTA MARK II or Two, iliendelea kutengeneza magari hayo mpk 2002 ikaona iachane nayo na kutengeneza magari ya muda mfupi, yaani short lived car ila kuziba pengo kwa haraka na kuendlea kushika soko,maana magari...
  16. K

    Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

    Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
  17. Tahadhari: Wizi mpya kwa wenye magari

    Kuna wizi mpya umeingia, mjini haswa kwa wenye magari yanayotumia remote control. Nadhani wataalamu wameshatengeneza remote yenye kuweza kuingiliana na remote nyingine hivyo kwa sasa remote za magari sio salama hata kidogo. Kinachofanyika haswa sehemu za parking za public, kwenye parking...
  18. Moshi city kujaa watu na magari Krismasi ni failure au success?

    Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha? Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy...
  19. Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Watu 15 wamepelekwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi nchini Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu, baada ya basi la kampuni ya Harambee kudaiwa kufeli Breki na kuparamia magari mengine saba katikati ya mji wa Moshi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Salum Hamduni...
  20. Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…