Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,012
40,681
Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake.

Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe beacon ya kiwanja chake ilipo,

akatepeta na kuondoka.
 
Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake.
Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe beacon ya kiwanja chake ilipo, akatepeta na kuondoka.
Mbeya Mjini tunarudi Nyumbani Ku-Tulia
Daah najuaga hii ni ID 1 aisee.

dodge
 
Back
Top Bottom