Picha: Traffic wa Taleban akiongoza magari katika mji wa Kandahar hapo jana

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,406
My take:
Hawa watu bado ni magaidi.Hii personality ni ya kigaidi😁😁😁
AIQSIP.jpg
 
Sharia imeanza rasmi ile akina pondde na uamsho waliokuwa wanaitaka hapo usipo aimama kwenye zebra cross unakutana na shaba ya kichwa
 
Naangalia CNN hapa kuna huyu reporter wao Charissa Ward ni KE anaripoti live kutoka Kabul nyuma yake kuna Mataliban kama 6 au 7 hivi na mitutu yao tayari tayari kama vile wanategemea kushambuliwa dakika yoyote.
Kabisa. Wanawake wameshapotea kwenye TV stations. Hawa jamaa wanakuua kwanza then wanakuhoji baadae
 
Naangalia CNN hapa kuna huyu reporter wao Charissa Ward ni KE anaripoti live kutoka Kabul nyuma yake kuna Mataliban kama 6 au 7 hivi na mitutu yao tayari tayari kama vile wanategemea kushambuliwa dakika yoyote.
Talibana wanacheza na "saikoloji" za watu. Yaani wanajaribu kupait image tofauti na ile ya nyuma ili wawe supported
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom