Dhana ya watu wanaofunga GPS tracker kwenye magari kuhusika na wizi wa magari. Je, ni kweli au si kweli?

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi.

Labda tu niseme kitu kimoja, GPS tracker nyingi ninazozifahamu zinatumia laini ya simu.

Na ili mtu aweze kupata location ya gari kuna namna mbili tu

1. Kwa kutumia message commands.

Hii ni njia ambayo unaitumia message laini ya simu ambayo ipo ndani ya GPS tracker na yenyewe inakujibu kulingana na ulichoiuliza.

Ukitumia njia hii ni lazima uset admin/binding number yaani namba ambayo itakuwa inawasiliana na hiyo GPS na kwa maana hiyo ukituma message kwa namba nyingine haitorespond unless uset tena hiyo namba mpya kuwa admin number.

2. Kwa kutumia application za simu.

Njia hii unakuwa na username na password ambazo utazitumia kulog in kwenye tracking app ambayo unakuwa uneinstall kwenye simu yako.

Kiukweli kwa kutumia njia zote mbili ili mtu mwingine yoyote tofauti na wewe aweze kujua location ya gari lako lazima either awe na namba ya simu iliyopo kwenye tracker au awe na username na password unazozitumia wewe kuingia kwenye app.

Pia ni wewe pekee ndio una mandate ya kumpa hizo taarifa au kutompa. Sasa katika mazingira hayo mtu anayekufungia gps tracker anawezaje kujua location ya gari lako? Unless wewe mwenyewe mwenye gari uliamua kumpa hizo taarifa.

Pia kuna exception moja tu, kuna watu akitaka kuuza gari anachonga funguo ya akiba halafu anafunga tracker. Huyu inaweza kuwa ni ngumu kumkwepa kwa kiasi fulani.

USHAURI

Taarifa za laini ya simu yako na username na password ni vizuri ukazikeep private.

Pia siku hizi wizi wa magari umegawanyika makundi mawili, wizi wa gari lenyewe au wizi wa spea za gari.

Kwa wizi wa gari funga GPS tracker moja au zaidi. Lakini kuna option ya pili ambazo iko more advanced hiyo sitaizungumza hapa sababu ni project yangu ya siku za mbeleni.

Kwa wizi wa vifaa vya magari, zipo GPS tracker chip ambazo ni ndogo sana kwa umbo kana kwamba inaweza kufungwa ndani ya Radio, Sidemirrors, Head lights, Tail lights, dashboad, control box n.k. ni ndogo na zinakuwa na Built in battery.

MWISHO

Ninayo GPS tracker moja niliinunua kama sample tu, soma maelezo yake kama uko interested nipigie simu 0621 221 606

1. Fuel Cut off (kukata mafuta hivyo gari kuzima kabla halijafika mbali, ukizima gari haitowaka tena mpaka utakaporestore fuel)

2. Location (inaonesha location kwa accuracy ya juu sana)

3. Geofence (Unaweza kuset gari lako litumike tu ndani ya eneo fulani mfano labda ndani ya Dar, kama mtu akitoka nalo nje ya dar inapiga alarm kwenye simu yako.

4. Unaweza kuset Overspeeding alarm kama mtu anaendesha kwa speed kubwa kuliko uliyoset itapiga alarm.

5. Kuna Shock alarm in case kama mtu amelibamiza gari lako itapiga hiyo alarm

6. Unaweza kuona Routes zote ambazo gari yako imepita kwa siku 180 zilizopita.

7. Ina Built in battery hivyo hata ukizima gari bado inaendelea kuwa active kwa siku kadhaa.

8. Kimuonekano ni ngumu kuitambua kama ni GPS.

9. Utahitaji laini ya simu ili uweze kuitumia.

10. Haina malipo ya kila mwezi.

If interested nipigie 0622 221 606.

Kitu cha mwisho kabisa ambacho nilisahau kukiandika ni kwamba kuiba gari ni kitu rahisi sana.

Steering lock inaweza kuvunjwa kilaini tu pia gari inaweza kuwaka bila funguo.

Kwa gari zenye immobilizer mtu anaweza kuja na funguo kadhaa ambazo zipo blank na akaziprogram (ni kazi isiyozidi dakika 15 tu) mwisho akawasha gari na kuondoka nalo.

Anadisable existing keys na kuprogram new key.
 
Kudhibiti hayo ni Jambo gumu na haswa wakikuamulia kuchukua gari lako na wakilikosa basi watabandua hata vifaa. Ila ni Bora gari yenye immobiliser kwani huo uwezo wa kuja kuprogram a new key kwa kudisable an existing one ni shughuli pevu kwa hawa wezi we hapa hawawezi kutake hiyo risk.
 
Na pia Wezi wanauwezo wa kupigisha shoti gari na GPS zote zikaungua hii unajiandaaje nayo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app

Sijui kwa wengine wanaofunga GPS ila principle ya kufunga kifaa chochote kwenye gari lazima uweke fuse. Tena yenye rating inayotakiwa. Hapo utakuwa umesalimika na michezo kama hiyo.
 
Kudhibiti hayo ni Jambo gumu na haswa wakikuamulia kuchukua gari lako na wakilikosa basi watabandua hata vifaa........Ila ni Bora gari yenye immobiliser kwani huo uwezo wa kuja kuprogram a new key kwa kudisable an existing one ni shughuli pevu kwa hawa wezi we hapa hawawezi kutake hiyo risk

Siyo kazi ngumu kama unavyodhani...

Kudisable existing keys
 
Na pia Wezi wanauwezo wa kupigisha shoti gari na GPS zote zikaungua hii unajiandaaje nayo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
GPS Tracker huwa zinakuwa na Fuse kwenye waya wa + moto, hivyo wakifanya michezo yao itakayoathirika ni Fuse na Tracker itaendelea kuwa online kwa kutumia built in battery japo haitaweza kupokea tena umeme wa kuicharge so uwezo wa built in battery yake ndo utaamua ikae online kwa muda gani kabla ya kuja kuzima
 
Upo sahihi 100%
 
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi.

Labda tu niseme kitu kimoja, GPS tracker nyingi ninazozifahamu zinatumia laini ya simu.

Na ili mtu aweze kupata location ya gari kuna namna mbili tu

1. Kwa kutumia message commands.

Hii ni njia ambayo unaitumia message laini ya simu ambayo ipo ndani ya GPS tracker na yenyewe inakujibu kulingana na ulichoiuliza.

Ukitumia njia hii ni lazima uset admin/binding number yaani namba ambayo itakuwa inawasiliana na hiyo GPS na kwa maana hiyo ukituma message kwa namba nyingine haitorespond unless uset tena hiyo namba mpya kuwa admin number.

2. Kwa kutumia application za simu.

Njia hii unakuwa na username na password ambazo utazitumia kulog in kwenye tracking app ambayo unakuwa uneinstall kwenye simu yako.

Kiukweli kwa kutumia njia zote mbili ili mtu mwingine yoyote tofauti na wewe aweze kujua location ya gari lako lazima either awe na namba ya simu iliyopo kwenye tracker au awe na username na password unazozitumia wewe kuingia kwenye app.

Pia ni wewe pekee ndio una mandate ya kumpa hizo taarifa au kutompa. Sasa katika mazingira hayo mtu anayekufungia gps tracker anawezaje kujua location ya gari lako? Unless wewe mwenyewe mwenye gari uliamua kumpa hizo taarifa.

Pia kuna exception moja tu, kuna watu akitaka kuuza gari anachonga funguo ya akiba halafu anafunga tracker. Huyu inaweza kuwa ni ngumu kumkwepa kwa kiasi fulani.

USHAURI

Taarifa za laini ya simu yako na username na password ni vizuri ukazikeep private.

Pia siku hizi wizi wa magari umegawanyika makundi mawili, wizi wa gari lenyewe au wizi wa spea za gari.

Kwa wizi wa gari funga GPS tracker moja au zaidi. Lakini kuna option ya pili ambazo iko more advanced hiyo sitaizungumza hapa sababu ni project yangu ya siku za mbeleni.

Kwa wizi wa vifaa vya magari, zipo GPS tracker chip ambazo ni ndogo sana kwa umbo kana kwamba inaweza kufungwa ndani ya Radio, Sidemirrors, Head lights, Tail lights, dashboad, control box n.k. ni ndogo na zinakuwa na Built in battery.

MWISHO

Ninayo GPS tracker moja niliinunua kama sample tu, soma maelezo yake kama uko interested nipigie simu 0621 221 606

1. Fuel Cut off (kukata mafuta hivyo gari kuzima kabla halijafika mbali, ukizima gari haitowaka tena mpaka utakaporestore fuel)

2. Location (inaonesha location kwa accuracy ya juu sana)

3. Geofence (Unaweza kuset gari lako litumike tu ndani ya eneo fulani mfano labda ndani ya Dar, kama mtu akitoka nalo nje ya dar inapiga alarm kwenye simu yako.

4. Unaweza kuset Overspeeding alarm kama mtu anaendesha kwa speed kubwa kuliko uliyoset itapiga alarm.

5. Kuna Shock alarm in case kama mtu amelibamiza gari lako itapiga hiyo alarm

6. Unaweza kuona Routes zote ambazo gari yako imepita kwa siku 180 zilizopita.

7. Ina Built in battery hivyo hata ukizima gari bado inaendelea kuwa active kwa siku kadhaa.

8. Kimuonekano ni ngumu kuitambua kama ni GPS.

9. Utahitaji laini ya simu ili uweze kuitumia.

10. Haina malipo ya kila mwezi.

If interested nipigie 0622 221 606.

Kitu cha mwisho kabisa ambacho nilisahau kukiandika ni kwamba kuiba gari ni kitu rahisi sana.

Steering lock inaweza kuvunjwa kilaini tu pia gari inaweza kuwaka bila funguo.

Kwa gari zenye immobilizer mtu anaweza kuja na funguo kadhaa ambazo zipo blank na akaziprogram (ni kazi isiyozidi dakika 15 tu) mwisho akawasha gari na kuondoka nalo.

Anadisable existing keys na kuprogram new key.
TaJa Bei tukunange
 
TaJa Bei tukunange
Ilishauzwa kitambo.... 150k

Japo huwa naziagiza kwa order ndo maana sijatangaza tena humu ndani.

Pia kuna fuel monitoring systems za special kwa malori na construction equipments. Yaani dereva akiiba mafuta hata lita 2 inasense faster.

Pia kuna Biometric Car start. Unalimit idadi ya watu wanaoweza kuliaccess gari lako. Hizi nazo nikupe bei uninange?
 
Je nini ushauri wako kwa wanaotaka kulinda magari yao na wasiwe na shaka kuhusu hii michezo ya wezi?

Kuna thread nitaipost baadae nitakutag...

Nimetry kucompile maelezo ya car theft tech kadhaa na baadhi ya solution towards kulinda gari lako.

Mfano mdogo tu moja ya weakness ya GPS tracker ni kwamba mtu anakuja na device ambayo inajam networks anaiacha ON. Akishaondoka na gari hutopata tena taarifa mpaka azime jamming device.
 
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi.

Labda tu niseme kitu kimoja, GPS tracker nyingi ninazozifahamu zinatumia laini ya simu.

Na ili mtu aweze kupata location ya gari kuna namna mbili tu

1. Kwa kutumia message commands.

Hii ni njia ambayo unaitumia message laini ya simu ambayo ipo ndani ya GPS tracker na yenyewe inakujibu kulingana na ulichoiuliza.

Ukitumia njia hii ni lazima uset admin/binding number yaani namba ambayo itakuwa inawasiliana na hiyo GPS na kwa maana hiyo ukituma message kwa namba nyingine haitorespond unless uset tena hiyo namba mpya kuwa admin number.

2. Kwa kutumia application za simu.

Njia hii unakuwa na username na password ambazo utazitumia kulog in kwenye tracking app ambayo unakuwa uneinstall kwenye simu yako.

Kiukweli kwa kutumia njia zote mbili ili mtu mwingine yoyote tofauti na wewe aweze kujua location ya gari lako lazima either awe na namba ya simu iliyopo kwenye tracker au awe na username na password unazozitumia wewe kuingia kwenye app.

Pia ni wewe pekee ndio una mandate ya kumpa hizo taarifa au kutompa. Sasa katika mazingira hayo mtu anayekufungia gps tracker anawezaje kujua location ya gari lako? Unless wewe mwenyewe mwenye gari uliamua kumpa hizo taarifa.

Pia kuna exception moja tu, kuna watu akitaka kuuza gari anachonga funguo ya akiba halafu anafunga tracker. Huyu inaweza kuwa ni ngumu kumkwepa kwa kiasi fulani.

USHAURI

Taarifa za laini ya simu yako na username na password ni vizuri ukazikeep private.

Pia siku hizi wizi wa magari umegawanyika makundi mawili, wizi wa gari lenyewe au wizi wa spea za gari.

Kwa wizi wa gari funga GPS tracker moja au zaidi. Lakini kuna option ya pili ambazo iko more advanced hiyo sitaizungumza hapa sababu ni project yangu ya siku za mbeleni.

Kwa wizi wa vifaa vya magari, zipo GPS tracker chip ambazo ni ndogo sana kwa umbo kana kwamba inaweza kufungwa ndani ya Radio, Sidemirrors, Head lights, Tail lights, dashboad, control box n.k. ni ndogo na zinakuwa na Built in battery.

MWISHO

Ninayo GPS tracker moja niliinunua kama sample tu, soma maelezo yake kama uko interested nipigie simu 0621 221 606

1. Fuel Cut off (kukata mafuta hivyo gari kuzima kabla halijafika mbali, ukizima gari haitowaka tena mpaka utakaporestore fuel)

2. Location (inaonesha location kwa accuracy ya juu sana)

3. Geofence (Unaweza kuset gari lako litumike tu ndani ya eneo fulani mfano labda ndani ya Dar, kama mtu akitoka nalo nje ya dar inapiga alarm kwenye simu yako.

4. Unaweza kuset Overspeeding alarm kama mtu anaendesha kwa speed kubwa kuliko uliyoset itapiga alarm.

5. Kuna Shock alarm in case kama mtu amelibamiza gari lako itapiga hiyo alarm

6. Unaweza kuona Routes zote ambazo gari yako imepita kwa siku 180 zilizopita.

7. Ina Built in battery hivyo hata ukizima gari bado inaendelea kuwa active kwa siku kadhaa.

8. Kimuonekano ni ngumu kuitambua kama ni GPS.

9. Utahitaji laini ya simu ili uweze kuitumia.

10. Haina malipo ya kila mwezi.

If interested nipigie 0622 221 606.

Kitu cha mwisho kabisa ambacho nilisahau kukiandika ni kwamba kuiba gari ni kitu rahisi sana.

Steering lock inaweza kuvunjwa kilaini tu pia gari inaweza kuwaka bila funguo.

Kwa gari zenye immobilizer mtu anaweza kuja na funguo kadhaa ambazo zipo blank na akaziprogram (ni kazi isiyozidi dakika 15 tu) mwisho akawasha gari na kuondoka nalo.

Anadisable existing keys na kuprogram new key.
Oya achaneni na kuumiza kichwa na mambo ya mifumo ya umeme, tumieni hiyo kitu mtanishukuru sana. Hakuna mwizi wa ku temper na hiyo kitu, umepaki sehem huiamini tia kufuli hiyo kwenye brake au accelerator unakua umesha maliza mchezo. wataambulia kuiba power window na vitu vingine wakitaka. Ila gari huibiwi. Wale wa ist zinazo windwa kila siku hili ndo suluisho, nitafuteni niwape hiyo kitu

WhatsApp Image 2022-02-15 at 1.03.27 PM.jpeg

WhatsApp Image 2022-02-15 at 1.03.26 PM.jpeg

WhatsApp Image 2022-02-15 at 1.03.26 PM (1).jpeg

WhatsApp Image 2022-02-15 at 1.03.25 PM.jpeg
 
Back
Top Bottom