Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.
Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch.
Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625.
Kwa lugha...
Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa
Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro....
Source : Millard ayo
Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile.
sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
Uongozi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umetoa ufafanuzi wa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa maegesho ya magari katika jengo la tatu la abiria na kusababisha msongamano wa magari katika uwanja huo.
Kaimu Mkurugenzi wa JNIA, Mhandisi Rehema Myeye changamoto hiyo...
Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira.
Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari Milioni 6.5 yaliyosajiliwa nchini humo.
Mwaka 2019 za Benki ya Dunia ilitoa takwimu zilizoonesha...
Afrika ili tuonekane tuna akili inabidi ifike wakati tuweke pesa kwenye "emergency responders" zaidi kuliko kuwekeza mabilioni kununua magari ya kukaa viongozi moja moja badala yake tuwekeze kwenye kuokoa raia kwenye majanga.
Ajali ya precision imetuonyesha kuwa kama nchi tuko nyuma sana kwenye...
Kwanza nawapa pole wote walioathirika na ajali ya ndege na Precision Air kule Bukoba, pia napongeza walichofanya wale wavuvi katika uokoaji .
Lakini moja ya kitu ambacho kimenishangaza ni jinsi viongozi wa kisiasa walivyoikomalia suala hili katika sura nyingine ya bima.
Naelewa ajali za ndege...
Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi.
Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka.
Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
Mara nyingi gari ikiibiwa masega,
1. Itawasha check engine
2. Inaweza kukosa nguvu.
3. Inaweza kumisfire(misi).
4. Itatumia mafuta vibaya sana.
Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza kukutana nazo iwapo gari itaibiwa masega. Au masega ya gari yako yatakuwa yamechoka.
Shida kubwa hapo...
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele...
Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana.
Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo:
1...
Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia.
Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.