Kwanini usajili wa namba E kwenye magari unakimbia sana?

Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
4,080
4,182
Napata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya.

Huu ni umasikini sana sana kwa wenye magari madogo madogo eg, raum, IST, rumion passo nk. hawa watu wanauza gari zao kwa masikini wenzao kulingana na umri wa plate namba. Watu wenye pesa pesa kidogo kuvuta Vanguard, Harrier hili swala la kusubiri herufi E wala hawakuwa nalo ni hawa newcomers sana sana.

Mtaani kuna LC300, mwenye nalo hakuwaza hata limepewa DZU. Baada ya usajili E kuanza naona kasi yake ni kubwa kuliko DZ, mwishoni ilinata sana.

Screenshot_20220831-101555.png
 
Magari mengi yaliyonunuliwa mwishoni wakati wa namba DZ yalikuwa yamewekwa tuu bila kusajiliwa namba wakingoja iingie namba E lakini pia hata wengi hawakuwa wakinunua magari wakisubira namba E ilipofika ndio mana unaona E inatembea fasta ila inatarudi kwenye mwendo wake tuu kama kawaida
 
Wanasahau hizi E zitakuwa kikwazo badae

Mtu anakwambia hi EAB ni E za kwanza hi achana nayo Bora tuchukue ya yule jamaa ni EGC😁
 
Napata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya.

Huu ni umasikini sana sana kwa wenye magari madogo madogo eg, raum, IST, rumion passo nk. hawa watu wanauza gari zao kwa masikini wenzao kulingana na umri wa plate namba. Watu wenye pesa pesa kidogo kuvuta Vanguard, Harrier hili swala la kusubiri herufi E wala hawakuwa nalo ni hawa newcomers sana sana.

Mtaani kuna LC300, mwenye nalo hakuwaza hata limepewa DZU. Baada ya usajili E kuanza naona kasi yake ni kubwa kuliko DZ, mwishoni ilinata sana.

View attachment 2340659
Aloo tushafika EAG🙌
 
Kwani inakaribia kuingia FAA!
 
Back
Top Bottom