Kuna wateja mlikuwa mnataka Sana hizi diffuser za kwenye gari, zimepatikana CHACHE, please kama unahitaji wahi.
TSh 60,000 unapata na essential oil 1
👉🏾Posta Samora
DSM Tunafanya delivery
Mikoani tunatuma
Call/whatsapp#0673485081
"Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza.
Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.
Kauli...
Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner.
Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni
Au nichek hapa 0685875749
Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
WanaJf,
Salaam!
Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS.
Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito?
M. Kabende
China
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
Mabibi na mabwana, kile kipindi cha kuvunja taa ya V8 na kukimbia eneo la ajali sasa kimepitwa na wakati, kwa sasa ukivunja taa ya V8 wewe simama ongea tu na mwenye gari kisha mpeleke Tabata Sanene kwenye kiwanda cha kutengeneza taa, badala ya kutumia milioni 4 kununua taa moja, sasa utatumia...
Labda kwa kuanza nieleze kisa kilichomkuta jamaa yangu.
Jamaa ana Subaru Forester 2006 2.0L
Usiku wa kuamkia 9 january 2023 zilinyesha sana mvua na kuna maeneo mjini yalijaa maji, sasa bahati mbaya wakati anaenda mishemishe kuna mahali alifika maji yakawa mengi.
Katika kupita maji yakawa...
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982.
wankel injini ukubwa wa injini...
Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu.
ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ).
Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa.
Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi.
Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.