magari

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  3. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania EWURA, Utaratibu wa kujenga Vituo vya Gesi asilia kwaajili ya Magari upoje?

    Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
  4. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kusaidia kuuza magari, masoko, nina mechanical diploma

    Habari, -> nipo dar (kibamba) Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
  5. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufahamu juu ya kampuni ya kuuza magari ya gloauc ya nchini Japan

    Wakuu, Amani iwe nanyi nyote! Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku. Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kidatu - Ifaraka wafikia 78%, Daraja la Ruaha Mkuu kupitisha magari pande mbili

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku magari ya mnadani kubeba abiria

    Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani. Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

    Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya...
  9. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

    Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba. Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani walia wakikumbuka huku Taliban wakionesha magari ya kijeshi

    Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021. Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  14. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Wanalalamika biashara ya usafirishaji ni hasara ila kila siku wanazidi kuleta magari

    Bila salamu, Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine. Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yasababisha Magari kusitisha safari barabara ya Arusha - Moshi

    Mvua zilizoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 3, 2023 katika maeneo mbalimbali mkoani Kilimanjaro imesababisha mafaruko na kusababisha kukatika kwa mawasiliano katika barabara kuu ya Moshi-Arusha eneo la kwa Msomali Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kwa zaidi ya saa tatu...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

    Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine. Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil. Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akabidhi magari matatu ya Zimamoto yaliyotengenezwa Tanzania, asema "Inawezekana majirani waje kununua magari Tanzania"

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari. Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Msururu wa magari ya msafara wa Rais wa nchi moja masikini

    Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
Back
Top Bottom