Kwanini magari ya Azam yakiwa na mizigo hayapiti kupima mzani?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,398
1,264
WanaJf,
Salaam!

Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS.

Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito?

M. Kabende
China
 
Uongo mtupu magari megi ya Azam yanaenda Dar - Mwanza, Dar-Rwanda umechunguza mizani yote hiyo hayapimi huo niongo tupiamo kapicha kama unasema kweli
 
Back
Top Bottom