Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
 
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia Brela jina hili limeshatumiwa.

Great Petrol Station
 
NYAMOIL
 
Kwann usitumie kifupisho cha majina yako matatu kama yanasound
Naona kama haitamkiki kiwepesi, na muonekano wa herufi sio mtamu pia haisound ki mafutamafuta au kigarigari. Yaani haleti connection fulani hivi na huduma.
 
Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia Brela jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
SIJARIBIWI OIL STATION
 
Back
Top Bottom