mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini shirika la TPDC tangu lianzishwe mwaka 1973 mpaka leo halijafanikiwa kuvumbua mafuta?

    Habari za Leo wakuu, Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua. Nilimsikiliza kwa umakini sana mzee Mseveni siku ile anahutubia kwenye uwanja mpya wa ndege chato. Na nilimwelewa sana yule mzee kuhusu historia ya kutafuta...
  3. MrFroasty

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali zote mbili - Uchimbaji Mafuta

    Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo. Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hatimae Nimefanikiwa kugundua njia ya kuibadilisha carbondioxide kuwa mafuta (petroli na dizeli)

    Habari za Leo wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Gesi ya kabondioxide imekuwa ikitolewa kwa wingi kutoka kwenye injini za magari na kwenye mitambo viwandani. Injini za magari na mitambo ya viwanda vinavyo tumia mafuta hutoa gesi ya kabondioxide mara tu baada ya mafuta kuunguzwa kwenye...
  6. secret file

    JamiiForums Tanzania Naliona Soko la Mafuta ya Diesel na Petroli likipata changamoto miaka michache ijayo

    Habari zenu. Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto. Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge inapanga bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za viwandani, lakini kwa makusudi imeamua kuwapuuza na kutowajali kabisa wakulima

    Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini. Wakulima wanaishi...
  8. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

    Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta kwenye vituo: EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

    Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, Alisema mtu anapokwenda kujaza mafuta anapaswa kuhakikisha kwenye pampu inasomeka alama 00 ndipo aanze kujaziwa mafuta, vinginevyo anaweza kuibiwa. “Mfano kama kuna mtu kapita hapo kajaza mafuta ya 20,000 na wewe umepita unataka kujaza pengine 50,000...
  11. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye bei za bidhaa kama mafuta? Vipi mlipo wana JF bei zikoje.?

    Wanajukwaa nawasalimu. Mimi niko mkoani Arusha na kuna mkwamo mkubwa sana wa upatikanaji wa Mafuta ya kula/Kupikia. Na ukiyapata dukani bei ni mkasi. Ile Singida ya Elfu 16 kwasasa inapatikana kwa taabu na bei yake imepanda mpaka elfu 25. Vipi huko kwenu mlipo hali ikoje? Hii ndiyo Tanzania...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kama Yalivyo Mafuta ya Total Kuongoza Kwa Ubora, Pia Vilainishi vya Total Vinaongoza Kwa Ubora, Vinadumisha Injini

    Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta na vilainishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, wamehimizwa kutumia vilainishi vyenye...
  13. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    Wadau habarini. Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa. Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini barabara zilizopitiwa na bomba la mafuta na gesi Tanzania ni mbovu namna ile?

    Ebu wataalam tuelimisheni! Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA? Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD? Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo? Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini? Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu...
  15. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya za mafuta, Petrol yapanda, Dizeli imeshuka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya dizeli na Petroli zitakazoanza kutumika kuanzia Novemba 4. Kwa Dar es salaam Bei za rejareja ya Petroli imeongezeka kwa Tsh 25 kwa kila lita na bei ya Mafuta ya Taa imeongezeka kwa Tsh 12 kwa lita. Huku bei ya...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Nywele

    Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion 4...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wakaazi wa jimbo la Alaska hulipwa USD 1500+ kutokana na mapato ya mafuta katika jimbo lao. Kwanini watu wa Kusini hawapati chochote kutokana na gesi?

    Jimbo la Alaska USA lina utajiri mkubwa wa MAFUTA. Sasa serikali ya jimbo hilo kila mwaka hutoa kiasi fulani cha mapato yanayotokana na mafuta na kuwagawia wananchi moja kwa moja. Nimejiuliza kwanini serikali ya Tanzania haitoi sehemu ya mapato ya gesi ya kusini na kuwagawia wakaazi wa mikoa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuanza kuchimba mafuta na gesi ndani ya Mwezi mmoja wa ACT wazalendo.

    Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani. Jambo ambalo limeshindwa kutekelezwa na Chama Cha Mapepari(CCM) kwa muda wa miaka 55,mapepari...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, bomba la mafuta kutoka Uganda litapita kwenye maeneo ya hifadhi za barabara yetu?

    Mwaka 2017 rais Museveni kupitia mitandao ya kijamii alitoa taarifa kuwa lile bomba la mafuta litakaotoka nchini mwake kupitia Tanzania litaweza kupita kwenye baadhi ya maeneo nchini ambayo ni hifadhi ya barabara zetu Majuzi hapa baada ya kukutana kwa raisi Museveni na Magufuli wamekubaliana...
Back
Top Bottom