mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

    Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
  2. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  3. J

    Nimebuni pampu ya umwagiliaji isiyotumia mafuta umeme/ Sola

    Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na baharini tu nimefanya majaribio ziwani na baharini.
  4. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

    Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
  5. Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  6. L

    Suala la mafuta ya kula lisipotezewe

    Kuna wengine wakienda supermarkets pesa iko na kubaki inabaki wanawapa tipu wahudumu kwahiyo hata mafuta yauzwe 10,000 Lita moja wala haiwasumbui pesa iko sio tatizo ni hivi to whom it may concern. Sijui ni Waziri wa kilimo au viwanda mafuta yako juu mno Au mko group ya pesa sio tatizo kwahiyo...
  7. Freemasons katika siasa na dini

    Nataka kusema kwamba, Ulaya wameitawala Libya,wanajua utamu wa utajiri wake wa mafuta. Ulaya na Marekani ndiyo wenye makampuni makubwa, “Supermajors” ya mafuta hapa duniani. Utawala wa Gaddafi ulitaka kubinafsisha mafuta yote yawe kwa maslahi ya Walibya, ooh…wakamkosea Mzungu. Freemasons...
  8. K

    Natafuta wauzaji wa vipodozi na mafuta mgando kwa jumla

    Za saa hizi wakubwa. Natafuta wauzaji wa vipodozi na mafuta mgando kwa jumla. 0715058481 kwa mawasiliano
  9. S

    Sakata la kampuni ya kuweka rangi kwenye mafuta: Mikataba ulikuwa umebakiza muda gani kuisha na hawawezi kutupeleka mahakamani kwa kuuvunja mkataba?

    Japo inadaiwa kuwa kampuni husika imetupiga hela nyingi (bilion 5 mpaka 7 kwa mwezi) lakini ukweli ni kuwa walikuwa wanatupiga kupitia mikataba tuliyoingia nayo wenyewe huku tukiwa na akili zetu timamu (hizo hela hawajatupora kwa mtupu wa bunduki) Kwahiyo, kama tumevunja mkataba kinyume na...
  10. Dkt. Kalemani: Marufuku kuuza mafuta yasiyo na vinasaba

    Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini. Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
  11. N

    Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  12. Mafuta kuondoa chunusi na kung'arisha uso

    Habari wakuu naombeni mnijuze mafuta ambayo yatamsaidia mwanamke kuondoa. 1. Chunusi usoni 2. Kung'arisha uso (isiwe kumchubua) 3. Pia kumuondolea mafuta mafuta usoni 4. Kumfanya awe soft soft hivi
  13. Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  14. Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

    Wakuu. Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania . Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya...
  15. Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka?

    Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka? Wengi husema gari likienda mbio kweli halili mafuta kiviiile! Je, ni kweli?
  16. Uganda: Rais Samia Suluhu ashiriki utiaji saini kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP)

    ======= Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu. Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
  17. N

    Subirini kidogo, hivi mnajua bei ya mafuta ya kupikia ilivyo sasa?

    ni shilingi za kitanzania 5,000/= kwa lita moja. hiyo ni bei ya mafuta ya kawaida tu kama MO, VIKING, KORIE n.k mi naelekea kuchanganyikiwa wadau.........msisahau nondo na cement vilishapanda zamani tu kutoka 11,000 hadi 16,000 sasa na nondo kutoka 15,000 hadi 22,000/= EEH MUNGU TUSAIDIE
  18. M

    Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

    Heshima kwenu wakuu sana! Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
  19. C

    Gharama za mafuta zapanda April 2021

    Habarini wanajamvi, katika pita pita zangu nimeona gharama za mafuta hapa nchini kwetu Tanzania( Aprili 2021). Kwangu mimi naona zinazidi kupanda tu.Kiukweli mimi sio mtaalamu wa mambo haya lakini naombeni watu watueleweshe inakuaje mafuta yanapanda bei. Sambamba na nini kifanyike bei iwe...
  20. J

    Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…