mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Tanzania hatuna uhaba wa mafuta, tumeshaagiza mengine ya Mei, Juni 2022

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema mpaka sasa Tanzania haina Uhaba wa Mafuta, hivyo hakuna Sababu ya Watanzania kuwa na Taharuki ya Ukosefu wa Nishati hiyo Muhimu. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati, Januari Makamba katika mkutano wake na Waagizaji na...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa. Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

    Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake. Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele. Kuwa viongozi wao si wezi, pana hata haja ya kuuliza? Kwa hakika tulipo, hitaji la kuwa na katiba itakayo tuhakikishia tuna watu...
  4. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Kinacho endelea ajira za bomba la mafuta

    Wakuu poleni na majukum. Jamani kama unafahamu kinachoendelea katika site za bomba la mafuta je, kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowote unao endelea. Naomba kama unafaham changia chochote
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine, huku usafirishaji na upokeaji wake nchini kuwa hafifu. Akizungumza Kaimu Mkurugenzi...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini

    Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania? Kama unawafahamu wataje humu jamvini. Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa kuwa hawa jamaa huwa hawagusiki ukiwagusa tu unapata shida.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

    Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

    Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi, mgogoro ukiisha watakuwa na stock ya kutosha

    Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Zaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa imefichwa katika mapango ya chini...
  10. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

    Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa asubuhi kwenye ghala hilo, ulisababishwa na mashambulizi ya anga kutoka kwa helikopta mbili za...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuanza mgao wa mafuta

    Ujerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia. Hatua hiyo imechukuliwa wakati kuna hali ya kutoelewana kuhusu malipo kwa kutumia sarafu ya Russia. Hatua ya umoja wa ulaya kuanza kutekeleza onyo la mapema la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?

    Wananchi tuna sababu ya kuwa na mashaka. Diesel na Petrol soko la dunia bei ikipanda serikali inapandisha bei, kwetu vilio. Kumbe hata tozo ya 100/- tuliyoaminishwa, haikuwahi kuondolewa. Hivi vipi kuhusu bei ya dhahabu tunayozalisha ambayo bei yake nayo imekuwa ikipanda mfululizo? Kwanini...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
Back
Top Bottom