Kesho mafuta yatapanda bei?

Kesho mafuta yatapanda bei?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,961
Reaction score
845,995
Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo

Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta

Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia hayakupaswa kupandishwa bei
Sasa mzigo mpya ni ule ambao umepitia misukosuko ya vita hata kama baadhi walikuwa wamezificha meli zao baharini wakisubiri hiki kipindi

Kuna hofu lita moja inaweza kufikia 5000+
Kama hilo likitokea tutegemee madhara na madhila mapya
Wengi watapaki nagari

Bidhaa zitapanda bei.. Infact kila kitu kitapanda bei

Je serikali imejiandaa na emergency rescue plan?
Je waajiri watawazingatia wafanyakazi wao kwenye ongezeko la mishahara?

Tutarajie mpaka kufikia mwisho wa wiki barabara nyingi kuwa nyeupe!
Kufa kufaana ..! Ni wakati wa kutamba kwa wenye magari na boda za solar na umeme!
 
Makebo na Munch wa Annabelle watu wangu, sisi wagalatia tulifurahia na kushabikia sana, Wateule na Marekani kuanzisha hii vita. Sasa matokeo😭😭😭😭😭😭

hydroxo

adriz de mbusii
 
Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo

Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta

Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia hayakupaswa kupandishwa bei
Sasa mzigo mpya ni ule ambao umepitia misukosuko ya vita hata kama baadhi walikuwa wamezificha meli zao baharini wakisubiri hiki kipindi

Kuna hofu lita moja inaweza kufikia 5000+
Kama hilo likitokea tutegemee madhara na madhila mapya
Wengi watapaki nagari

Bidhaa zitapanda bei.. Infact kila kitu kitapanda bei

Je serikali imejiandaa na emergency rescue plan?
Je waajiri watawazingatia wafanyakazi wao kwenye ongezeko la mishahara?

Tutarajie mpaka kufikia mwisho wa wiki barabara nyingi kuwa nyeupe!
Kufa kufaana ..! Ni wakati wa kutamba kwa wenye magari na boda za solar na umeme!
Mama mitano tena
downloadfile-50.jpg
 
Back
Top Bottom