Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,505
- 5,094
Nimepitia kwenye account moja ya instagram [WORLD DATA RANKING] naona hapa nchi 50 duniani ambazo huzalisha mafuta kwa wingi,ndipo nikaja kujiuliza huu uhaba wa mafuta unatoka wapi?
Yaan kwa nchi hizi 50 duniani ambazo ndio zinaongoza kwa uzalishaji wa mafuta sidhani kama tungefikia hatua hii kwa nchi kadhaa kuingia kwenye mgogoro unaopelekea mafuta kupanda hivi.
Huku kuna siri gani haswa imejificha,watu watufungue basi ufahamu.