mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni juzi tu hapa TPDC walitangaza nchi Ina akiba ya kutosha ya mafuta inakuaje bei ipande marudufu ndani ya week wakati nchi ilikua na akiba ya kutosha

    Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!! Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namibia yapunguza kodi ya mafuta kwa 50%

    Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hii bei ya mafuta wiki chache zijazo tutaiona ni bei ndogo

    Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana. chakuomba ni kwamba watu...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za mafuta ni janga, Serikali punguzeni kodi za mafuta Wananchi wapumue

    Dar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli. Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno kwenye mafuta, kwa nini iangushe mzigo wote kwa mlaji huku yenyewe ikiendelea kupata makusanyo. Na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njooni Tujichange Twende Tanga Tujenge Kiwanda Cha Kusafisha Mafuta Ghafi (Petroleum Refinery). Mafuta tutanunua Uganda

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Tanga. Yaani fursa ipo hapa tutakua tunanunua mafuta yanayopita...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtambo Huu Unauwezo wa Kubadili Hewa ya Kabon Dayoksaidi (CO2) kuwa Mafuta ya Petroli

    Habari za leo wakuu, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri. Gesi ya kaboni dayoksaidi (CO₂) imekuwa ikitolewa kwa wingi sana kutoka kwenye injini za magari pamoja na mitambo ya viwandani. Mara tu mafuta yanapochomwa ndani ya injini au mitambo hiyo, huzalisha gesi mbalimbali, ambapo moja kuu...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Bei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi? Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka! =====
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta imepanda kwa 65% Nigeria

    Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika. Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

    Wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha. Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha, Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unajiuliza ujaze mafuta ya petrol ya aina gani na kituo gani? Soma uzi huu uyajue mafuta sahihi kwa gari yako

    Tunapofanya maamuzi ya kujaza mafuta kwa magari yetu ya petrol, mara nyingi tunakuwa confused; tunajiuliza “nipi mafuta bora kwa gari langu?” kna vituo vina petrol 91%, wengine 93% engine 95% Nitatoa mifano ya makampuni mawili makubwa: TOTAL – Hawa wana mafuta ya petrol yenye 95% octane...
  15. PSPA Pure'12 udsm

    JamiiForums Tanzania Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

    Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa, https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania US: Tumeiruhusu meli za mafuta ya Iran kupita katika mlango wa Hormuz

    Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa. Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ndege Tano za Marekani za kuweka mafuta kwa ndege nyingine zapigwa na Iran

    The Wall Street Journal Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha Prince Sultan Air Base nchini Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani. Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
Back
Top Bottom