mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  2. JamiiForums Tanzania MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

    Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali. Chuo cha ufundi JITA...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani. Amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kichawi wanapokuwa internship "Field" au mafunzo kwa vitendo

    WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO. Anaandika, Robert Heriel Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu kwenda Internship au field au Kwa Kiswahili fasaha tunasema kwenda kwenye mafunzo Kwa vitendo for...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  7. JamiiForums Tanzania Fedha za mafunzo Askari Polisi zazua jambo, Msemaji wa Polisi atoa ufafanuzi

    Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo. Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Shule ya Msingi Yaliyotoswa na Wanufaika

    Kama yote yaliyofundishwa mashuleni, hasa Shule ya Msingi, huenda haya yasingetokea: 1. Matumizi ya leso Ni kawaida kwa baadhi ya watu, wanapopenga "kamasi", kutokkutumia leso. Bdala yake, hutumia mikono yao kuziba pua kidogo na kupuliza pia, " pwiii", kupuliza pembeni. Halafu maji maji...
  9. JamiiForums Tanzania EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
  10. JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo na EACOP

    Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training. Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana...
  11. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya jeshi

    Habari za muda wakuu. Naomba kwa yeyote anayeweza saidia ktk hili asaidie. Baada ya majina ya vijana watakaoenda jeshini kutoka,watu waliyapokea kwa namna tofauti. Wapo waliofurahi,na wapo ambao waliapa kutokwenda. Mimi kijana wangu ambaye yuko chuo Cha ualimu( special diploma) alifurahi Sana na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

    >> MOVED / IMEHAMISHWA >>
  14. JamiiForums Tanzania Hawa watu wa ku-download pesa huwa wanapata mafunzo ya siri ya kujisifu?

    Kiukweli ninashangazwa sana na tabia za hawa watu. Hawa wazee wa mambo ya bitcoin, cryptocurrency, betting na mengine yanayofanana na hayo wana shida gani kwenye vichwa vyao? Yaani vijana karibu wote wanaofanya hizi ishu kwa hapa Afrika lazima wawe na tabia za show offs na kujisifu mno huku...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

    Nyimbo tulizojufunza majeshini mafunzoni na kwenye mchakamchaka. 1. Baku babakubaba siitikii. 2. Inkalankala inka. 3. Nasoro unantafuta. 4. Impiizaaa. Ongezea nyingine
  17. JamiiForums Tanzania Mafunzo online Electronics,Electrical and ICT

    TANZANIA ELECTRICAL,ELECTRONICS AND ICT SOLUTION ONLINE Tunakaribisha watu binafsi katika kupokea mafunzo ya Electrical,Electronics na ICT kwa njia ya mtandao(ONLINE), Mafunzo yetu yana lengo la kuwasaidia wale ambao wanahitaji kuboresha,kuongeza ama kujifunza ujuzi zaidi kuhusiana na fani...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  19. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Kuitwa kwenye mafunzo ya Uchunguzi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuwatangazia watu wote walioomba nafasi 320 za ajira ndani ya TAKUKURU kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania UVCCM Waliojiunga na mafunzo ya mradi wa jenga kesho iliyo bora (BBT) tukutane hapa

    Karibuni!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…