EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation & maintenance) wa miundombinu ya bomba la mafuta .

Vijana hao 140 watahudhuria mafunzo kwa miezi 3 VETA Moshi, Miezi 3 Arusha Technical College, Miezi 6 UPIC - Uganda, Miezi 4 abroad.

Kila hatua utatakiwa kufaulu ili kuendelea hatua inayofuata.

Usaili na ushiriki wa mafunzo ya online unalenga kuanzia wahitimu wa kidato cha nne, cha sita vyuo vya ufundi na vyuo vikuu.

Washiriki wa kike na wale wanaotokea mikoa inayopitiwa na mradi wanahimizwa kujitokeza ili wachukue fursa hii ya kipekee

Usajili na module ya kwanza unaanza kesho tarehe 5th June mpaka 25th June, 2023 kupitia link

Angalizo Dirisha la usaili likifungwa hautapata nafasi ya kujisaili kwa hiyo wahi hii fursa sasa ivi..

Kwa maelezo zaidi pitia tovuto MOOC Tanzania – EACOP –
 
Naona ni ku sign in tu,sijaona sign up walishapewa mwongozo wao pale DIT nini.
 
mnaokwama jaribuni kutumia PC. Inakubali.

eacop.png
 
Apo nimekwama na maelekezo nimeyafuata vizur ila najikuta narud apo apo
 
Attachments

  • Screenshot_20230605_133427_com.huawei.browser.jpg
    Screenshot_20230605_133427_com.huawei.browser.jpg
    51.7 KB · Views: 44
Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation & maintenance) wa miundombinu ya bomba la mafuta .

Vijana hao 140 watahudhuria mafunzo kwa miezi 3 VETA Moshi, Miezi 3 Arusha Technical College, Miezi 6 UPIC - Uganda, Miezi 4 abroad.

Kila hatua utatakiwa kufaulu ili kuendelea hatua inayofuata.

Usaili na ushiriki wa mafunzo ya online unalenga kuanzia wahitimu wa kidato cha nne, cha sita vyuo vya ufundi na vyuo vikuu.

Washiriki wa kike na wale wanaotokea mikoa inayopitiwa na mradi wanahimizwa kujitokeza ili wachukue fursa hii ya kipekee

Usajili na module ya kwanza unaanza kesho tarehe 5th June mpaka 25th June, 2023 kupitia link

Angalizo Dirisha la usaili likifungwa hautapata nafasi ya kujisaili kwa hiyo wahi hii fursa sasa ivi..

Kwa maelezo zaidi pitia tovuto MOOC Tanzania – EACOP –
nimejisajili lakini module haifunguki kuanza kusoma ..msaada kwa aliyeweza kusoma algebra
 
Back
Top Bottom