mafanikio

  1. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya robo tatu ya mwaka 2022

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shughuli za uratibu na utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia utoaji wa huduma mahala pamoja ndani ya...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Harmonize ashauriwa namna ya kufikia mafanikio ya Diamond Platnumz

    Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo. Katika ukanda wa Afrika mashariki, tasnia ya Sanaa ndio inaendelea kukua kila uchao, huku wasanii wapya wakikaribishwa katika...
  3. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto na mafanikio yapi ulipitia wakati ukifanya internship/ kujitolea?

    Habari Wana jamvi, Katika dunia ya Sasa hasa nchini kwetu swala la ajira limekuwa ni kilio kikubwa sana. Siku hizi kupata ajira ni kama bahati au connection yani kupata ajira kwa ujuzi wako imekuwa nadra sana. Wapo waliomaliza chuo nakupa kazi moja kwa moja wapo walio subiri kwa zaid ya miaka...
  4. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin. Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa. Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aelezea mafanikio ya mwaka mmoja wa rais Samia katika sekta ya Nishati

    MUDA HUU Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani. Kupitia link hapo chini👇🏿
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa Kisiasa: Mafanikio kuelekea siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Na Elius Ndabila 0768238284 1: UTULIVU WA KISIASA Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita kumaliza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais. Kuelekea siku 365 nitakuletea mfululizo wa makala...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kaya zenye Wazazi Waliosoma zina Usitawi kuliko Kaya ambazo Wazazi hawajasoma

    Salaam Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda, amesema Takwimu zinaonyeshwa kwamba Kaya zenye Wazazi Waliosoma, zina Usitawi kuliko familia za Wazazi ambao hawajasoma. Hata Nchi zilizowekeza kwenye Elimu zina maendeleo zaidi ya Nchi ambazo hazijawekeza kwenye Elimu...
  10. MLALE

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Mafanikio: Nguvu ya kwanza ipo kwenye akili zetu. Badili mtazamo wako juu ya vitu mbalimbali, anza polepole

    Ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna matajiri na masikini? Utofauti huo upo katika akili zetu (mindset), na pia katika mitazamo yetu (attitudes), japo kuna sababu nyingine nyingi. Naandika haya baada ya kufanikiwa katika Nyanja ya KIELIMU, KIJAMII na KIUCHUMI kwa kuweza kuifanya akili yangu iwaze...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dutch Disease: Ugonjwa unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali

    DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
  12. plan z

    JamiiForums Tanzania Mada Fikirishi: Unamchukulia vipi mtu ambaye hataki ufanikiwe?

    Kama kichwa kinavyojieleza, huyu anaweza akawa mfanyakazi mwenzako, ndugu yako, mzazi wako au mtu wako yeyote wa karibu ambaye hata ukimkwepa na kumpuuza bado yupo tu kwenye life lako hivyo inakuwa hakuna namna. Wakati mwingine hata mke au mme n.k n.k Ukiweka plans zako ukaanza kuzitekeleza...
  13. N

    JamiiForums Tanzania GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuendelea kupata faida kwenye biashara

    THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
  15. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Nunua daftari na peni leo uanze safari yako ya mafanikio

    Ukitaka kufanikiwa kimaisha anza kwa kununua daftari na peni. Hakikisha kila siku kabla haujalala umeshapanga kesho yako ufanye nini na nini na matumizi gani muhimu uyafanye. Nini ufanye ili uboreshe utendaji kazi wako, maslahi yako, elimu yako, biashara yako nk. Kesho yake kabla muda wa...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

    Nitangaze mapema kwamba 1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi 2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote. Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  18. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo yote haya, Rais Samia hapendi mapambio

    Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa Rais samia miezi 9 unazidi uwekezaji wa miaka 4 iliyopita huyu Mama hana sifa ya kujikosha na...
  20. Mchapakazihalisi

    JamiiForums Tanzania Hakuna uongozi wa mtu mmoja, tushikamane kwa mafanikio ya Wizara

    Na Prisca Ulomi, WHMTH, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika...
Back
Top Bottom