Justin Bieber amepewa jina jipya la Prince of Pop baada ya mafanikio haya

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa zaidi ndani ya mwezi mmoja.
-
Rekodi hii awali ilishikiliwa na Ariana Grande. Wasanii wanaofata baada ya Justin Bieber ni The Weeknd na wasikilizaji milioni 74.5, Ed Sheeran na milioni 72.4.

Justice album mpya ya Justin iliyotoka March 19, 2021 inaendelea kukimbiza.
 
Back
Top Bottom