mafanikio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uthubutu, jitihada mzizi wa mafanikio

    UCHUMI Ili uchumi wetu uweze kupanda serikali lazima ipambane kuongeza thamani ya shilingi yetu kitaifa pamoja na kimataifa. Thamani ya shilingi yetu ni ndogo sana kulinganisha na fedha yingine hasa za kigeni na hii imekuwa sababu kubwa sana ya kushuka kiuchumi siku hadi siku mfano dola moja ya...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ambatana au kaa karibu na Watu ambao wanaweza kukupa ramani ya mafanikio!

    Ni mazungumzo ya vijana wawili wanao fahamiana...ni uwanjani katika mchezo wa soka pale kitaa cha Tabata. Jioni hiyo niliamua kwenda kucheki mazoezi ya mpira kwani kiwanja Hicho hakipo mbali Sana na ninapoishi. Na haya ndio mazungumzo Yao: Kijana wa Kwanza '' Kaka hiyo fani yako ya umeme vipi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Naitwa Mafanikio: Unanipenda sana lakini wewe ni mnafiki

    Ama kweli unanipenda sana, ama kweli unaniwaza sana, ama kweli unanitafuta sana lakini unawaza mbona hunipati? Nimeamua kutoka mafichoni unapo nitafuta nikujie kwa maana kiu yako ni kubwa sana. Baada ya kuona jitihada zako, leo nimependa nikueleze ukweli wote kwa maana unanipeda sana. Unapenda...
  4. Man Rody

    JamiiForums Tanzania SoC02 Siri ya mafanikio

    Salaam Wakuu, awali ya yote ningependa kuipongeza J.F kwa mpango huu kabambe.. bila kupoteza muda nizame moja kwa moja kwenye mada tajwa apo juu. MAFANIKIO yanaweza kuwa na maana tofauti kwa watu tofauti japo kiuhalisia jamii inatumia kipimo cha mali/fedha kama mzani wa mafanikio. Kuna maana...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania KABILA LA AFRIKA MASHARIKI LENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI

    Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnisahihishe kwa uhalisia lakini hadi sasa sijaona jamii yenye watu wenye mafanikio kuwazidi wazanzibari, wapo mbali sana na huu ni mwanzo tu

    Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara. - Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mafanikio hayapo kwa kila mmoja, ni wachache tu waliopitiwa na bahati

    Definition ya mafanikio ni kubwa sana, inategemea na mtu anaonaje mafanikio lakini uhalisia unabaki kuwa mafanikio ni pesa/umiliki wa mali. Nimekaa sehemu nikaona vijana wanatembeza muha wanakata vipande 100/200 nikaingia kwenye tafakuri nzito kidogo. Muhubiri 9:11 Nikarudi nikaona chini ya...
  10. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vidole vya mkono wangu siri ya mafanikio yangu

    Ndipo nilipokaa chini pembezoni kidogo na ukingo wa kitanda changu nikiwa nimegubikwa na shauku kubwa ya mafanikio. Kama Kijana mdogo nijuaye kwa hakika na dhairi shairi kua Maisha haya ni duara, hivyo nisimame imara kuligombania Kombe na kuanzisha safari yangu ya Mafanikio. Nikijua...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ukubwa wa jeshi hakutaongeza mafanikio katika vita ya Ukraine

    Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi. Kwasasa Rusia anataka...
  12. Costomino

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kupitia mtazamo chanya

    Je una tatizo? hilo ni jambojema!. Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini? Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako. Kila mmoja wetu ana matatizo ndo maana kila kitu katika ulimwengu kipo katika hali ya kubadilika.Kitu cha muhimu ni kwamba, mafanikio...
  13. Josephaty Jumapili

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo, uzio wa mafanikio

    "Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"! Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake. Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
  14. plan z

    JamiiForums Tanzania Simulizi fupi kuhusu mafanikio

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ndoto na Mafanikio

    UTANGULIZI NDOTO NI NINI? Ndoto ni taaswira, mawazo, tamaa au hisia ambazo zinapita katika akili yako. Mara nyingi Sana ndoto ni kitu unachoweza kukitengeneza katika taaswira yako kulingana na malengo yako ya baadae. Ndoto ni kitu unachokitamania kukitimiza siku moja katika maisha yako. Lakini...
  17. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  18. travelme2014

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kwenye ulimwengu wa kisasa

    MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
Back
Top Bottom