mafanikio

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto nje ya ndoa wanakuwa na mafanikio sana kuliko wale walio ndani ya ndoa?

    Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini. Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa. Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi. Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mafanikio katika maisha hayana formula. Acha kuiogopa kesho yako

    Habari! Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio). Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na pesa au mafanikio. Mchezo wa kusaka pesa (money game) ni wa milele. Mtu huacha kuwaza pesa pale...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

    Ndugu zangu watanzania, Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  6. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi siyo sura. Fuateni nyayo za waziri wa Sudan Mobior Garang

    Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji. Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huu Mwaka umefika mwisho Naomba atokee mtu atuwekee Nywira za kuishi Maisha ya Mazuri

    Hapa namaanisha Maisha Mazuri Kula uhakika Kulala uhakika Kuvaa uhakika Unaishi Nyumba nzuri yenye hadhi ya kukaa Binadamu Unaendesha kipandio chochote chenye Muonekano Una Biashara au Kazi iliyo-simama Unasaidia Masikini , wazazi, majirani na Yatima nk. Huna stress za Mapenzi Account...
  11. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

    Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada. Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
  12. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu, Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui? Kwa...
  13. zagarinojo

    JamiiForums Tanzania Je, Mafanikio yana Formula? Kufanikiwa ni mbinu au bahati?

    Habari Wana Forum, naimani mu wazima wa afya. Kabla sijaanza naomba radhi kwasababu ntatumia code mixing na code switching Ili kurahisisha ujumbe. Kila mmoja ana jinsi yake ya kudefine na kuyaelewa Mafanikio. Lakini nijikite zaidi kwenye Mafanikio ya kiuchumi. Kichumi lakini pia kwa mtu...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

    Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

    Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Vilabu 49 vyenye mafanikio Afrika 2022, CECAFA zipo mbili tu

    Al Ahly Egypt (Makombe 24) Vikombe vya klabu bingwa Africa 10 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 4 Kombe la shirikisho 1 Super cup 8 Afro-asian cup 1 Zamalek Egypt (Makombe 13) Vikombe vya klabu bingwa Africa 5 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 1 Kombe la shirikisho 1 Super cup 4 Afro-asian...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
Back
Top Bottom