Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,933
- 25,267
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana kwa staha kwa lengo la kupata muafaka.
Kwamba Rais Samia hajachukua hatua juu ya jambo hili si kweli. Bei ya juu Mwezi 3/2021 ilikuwa TZS 40.04 Bei ya juu Mwezi 8/2022 ni TZS 9.35. Tuanzie hapa… https://t.co/SM3vSY7erZ
Na ukisoma majedwali haya mawili utaona kuwa kazi ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya sita ilikuwa kutoa bei ya juu ilikokuwa imefika yaani TZS 40.4 kurudi mpaka TZS 9.35, inawezekana kwa wengine hili@si jambo kubwa lakini ni kweli si jambo kubwa?
Vifurushi ambavyo mara zote nimesema ni huduma ya ziada ambayo kwa Tanzania imegeuzwa kuwa huduma ya msingi mwezi 03/2021 ilikuwa TZS 1.11 mpaka 2.80 na baada ya kutengeneza msawazisho wa kupunguza ya juu ndio tukapata wastani wa TZS 1.75 mpaka TZS 4.67."
"Sasa kama ulivyo uzalishaji wa bidhaa zingine zozote kuna gharama za kuzalisha Unit moja inayosafirisha Data. SERIKALI INAENDELEA KUONA NAMNA Halafu ndio unaagalia kitu gani kinaweza kufanywa ili kupunguza gharama za uzalishaji ili kusaidia kupunguza bei ya Data. Ndio kazi serikali tunaendelea nayo tuone maeneo gani yakiguswa yatapunguza bei ya kuzalisha. Katika mazingira ambayo gharama za uzalishaji zinaongezeka kila GANI TUTAPUNGUZA GHARAMA ZA KUZALISHA DATA NCHINI ILI BEI YAKE ISHUKE. Kazi ya kwanza ilikuwa kupata uhalisia wa bei ya Data halafu …
Sio kwamba serikali haioni na ndio maana tumepunguza sana bei ya juu ili kupata uhalisia wa uzalishaji. Wakati tukihangaika kufanya haya, upande wa pili lazima kuhangaika na uwezo wa wananchi kiuchumi kuweza kumudu kununua Data, na hapa zipo hatua kadhaa zimechukuliwa na serikali.
Likiwemo swala la mishahara, kuongeza shughuli za kiuchumi kama ujenzi, kilimo (ruzuku) nk haya yataongeza uwezo wa kumudu hali ya kuongezeka gharama za maisha kiujumla.
Pamoja na hayo kumefanyika tafiti na masihirika makubwa duniani juu ya gharama za vifurishi duniani na hapa naweka link ili tusome wenyewe
Hizi links ni tafiti zinazoonyesha hali ya bei ya Data Duniani.
Worldwide Mobile Data Pricing 2022 | 1GB Cost in 233 Countries [Updated May 2022]
These ten African countries have the cheapest data plans | TechCabal cheapest- data-plans/ [Updated September 2021]
What Does 1GB of Mobile Data Cost in Every Country? [Updated July 2020
Mwenye nia ya kujua hali ya Tanzania ilipo afungue hizi aone lakini kwa kifupi. Tanzania ni nchi ya 6 Afrika kwa kuwa na bei ndogo ya Data. Na ni katika nchi zenye bei ndogo Duniani. Takwimu hizi si zetu zimefanywa na mashirika yanayoheshimika Duniani.
Mwisho Kama nilivyosema pamoja na hatua kadhaa serikali ilizochukua kudhibiti kupanda sana na kwa kasi kwa bei ya Data zipo hatua zingine tunazoendelea nazo ambazo zikifanikiwa zitasaidia kuboresha hali.
NINA AMINI KWA MAELEZO HAYA WANAOTAKA KUELEWA WATAELEWA WANAOTAKA KUENDELEA KUTUKANA NA KUKEJELI RUKSA KUENDELEA SASA….."