mafanikio

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  3. vibertz

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

    Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho) 3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki 4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week 5) Kupostiwa kwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  5. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

    Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
  8. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

    Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ndiyo Mafanikio ya Miaka Miwili ya yatakayomhusu au Kujihisi tu

    1. Taabu / Shida Kuongezeka 2. Nidhamu ya Kiutendaji kushuka 3. Rushwa na Ushirikina Kushamiri 4. Upumbavu ( Upopoma ) wa Watu kuongezeka maradufu he 5. Unafiki kushamiri 6. Uhalifu kuota Mizizi 7. Kujipendekeza ( Uchawa ) na Ushoga Kuongezeka Na wala huu Mchezo hauhitaji Hasira hata kidogo...
  10. Amicus Curiae

    JamiiForums Tanzania Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Habarini za wakati huu wakuu. Nimegundua kwamba watu wengi (siyo wote) wenye pesa/mafanikio ya kweli wako very humble. Hadi naanzisha huu uzi, yapo matukio mengi yamethibitisha conclusion hii. Jana jioni nilienda Morena Hotel Dodoma kujipumzisha. Nikiwa pale nikakutana na rafiki yangu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Dini imemuangalia zaidi mwenye mafanikio, tajiri na kumkandamiza maskini na mwenye matatizo

    Ukijaribu kupitia pitia dini zetu kiufupi zipo kwa ajili ya mafanikio na tajiri sio kwa maskini na mwenye matatizo. Mafanikio na utajiri ndio yana kubeba kupitia dini viongozi wa dini watakuombea na kukubari kuja kwako ukilinganishana na maskini. Nilishangaa kwa waislamu msaani domo dini yake...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

    Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao. wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

    Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania 1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki 2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara 3. Deni la Taifa ni himilivu
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kipaji kinaweza kuwa nguzo ya mafanikio

    Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe. I.Gundua kipaji chako. Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dira ya Rais Samia Suluhu kwa Tanzania Imara na yenye Mafanikio Zaidi

    Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu anazidi kuchukua hatua kubwa ili kulipeleka taifa la Tanzania katika mustakabali mwema. Samia Suluhu ameelekeza nguvu zake katika kuendeleza ajenda za maendeleo za mtangulizi wake, John Magufuli, huku akitanguliza utawala bora na haki za binadamu. Baadhi ya...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  19. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

    Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo; 1. Umeme hadi vijijini. 2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere) 3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi...
  20. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wenye mafanikio makubwa kwenye majengo ya kupangisha wanakuwa hivi

    Mafanikio yanaanzia kwenye akili yako. Leo ninakushirikisha mambo mawili ambayo yanaweza kukuumiza. Endapo yatakuumiza pole na utanisamehe kwa hilo. Kusudi kuu la makala hii ni kuonyesha njia ya kweli ya kujenga utajiri kupitia ardhi na majengo. Tofauti 2 Za Wawekezaji Wenye Mafanikio Makubwa...
Back
Top Bottom