Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

Gotze Giyani

Senior Member
Feb 28, 2022
121
180
Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada.

Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania wengi sana, tena unakuta ni msomi tuu, mwaka mzima hujafanya kitu chochote cha maana na hela unakuta unapata hata kama ni kidogo.

Wadau, tatizo huwa nini eti?

Naomba nijibiwe na wanaojielewa tuu, ni project hii kazini nimeahidiwa mpunga mrefu hivyo kama hujui kitu kaa pembeni, endelea kusindikiza watu tuu kwenye maisha.

Karibuni wadau.
 
Tatizo kubwa watu wanadhani mafanikio makubwa ni kujilinganisha na watu fulani! Mfano mafanikio yanaweza kuwa kutoka kula mlo mmoja kwa siku hadi kula milo mitatu kwa siku
 
Back
Top Bottom