GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini hii haimaanishi anafurahishwa na maendeleo ya Yanga, NO! Hutumia hali ya Yanga kuwakumbusha Simba kwamba wawe serious, wasibweteke, wasajili wachezaji wazuri, n.k ili wao Simba wawe mbele kuzidi Yanga.

Sasa tukija katika upande wa ushabiki wake wa Simba, hapa sasa ndipo Imeshakuwa kawaida kukuta nyuzi zake hata tatu kwa siku humu ndani zikiashiria maumivu ayapatayo kwa Yanga kuendelea ubabe wa ligi.

Kwa hali hii kiutani utani tunaweza kumpoteza mwana JF mwenzetu.

Nashauri akae mbali sana na mambo ya mpira.
 
Nyie nao mnachekesha sana..kuna muda anawapa maujiko kama yote mnakenuaaa akianza kuwanyea mnamtafutia mtaalamu wa tiba... 😆 😆 😆 😆
Kazidi kulia lia,hapendwi anachokozwa,sasa hata huku kwenye mpira.
 
images (17).jpeg

Yupo hapa mapalala ze great anaweza kumsaidia. Wana jf rusha mchango wa 1000 kila mmoja nifamye kumuimport from kalahari desert
 
Nyie nao mnachekesha sana..kuna muda anawapa maujiko kama yote mnakenuaaa akianza kuwanyea mnamtafutia mtaalamu wa tiba... 😆 😆 😆 😆
GENTA ni shabiki wa mpira 50% na shabiki wa Simba 50%, Akisifia huwa hajali timu hata iwe Yanga, yeye anachongalia ni mpira kwanza, Ila inapokuja ishu ya Simba hapa kila mtu lazima aumie anapoona timu yake inapokwa maendeleo hasa na wapinzani, hizi timu zetu mbili ni heri alie mbele awe hata Azam na Geita Gold kuliko mtani.
 
GENTAMYCINE Kwa mara ya kwanza amejitahidi kurekebisha mwandiko.
 
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini hii haimaanishi anafurahishwa na maendeleo ya Yanga, NO! Hutumia hali ya Yanga kuwakumbusha Simba kwamba wawe serious, wasibweteke, wasajili wachezaji wazuri, n.k ili wao Simba wawe mbele kuzidi Yanga.

Sasa tukija katika upande wa ushabiki wake wa Simba, hapa sasa ndipo Imeshakuwa kawaida kukuta nyuzi zake hata tatu kwa siku humu ndani zikiashiria maumivu ayapatayo kwa Yanga kuendelea ubabe wa ligi.

Kwa hali hii kiutani utani tunaweza kumpoteza mwana JF mwenzetu.

Nashauri akae mbali sana na mambo ya mpira.
Huyu Genta tatizo kubwa linalomsumbua ni u-jobless.Atakayemsaidia kupata kazi au mtaji wa biashara ndio itakuwa tiba yake make tangia atoke shule SAUT yupo anazurura tu ,hivyo JF ndio sehemu yake ya kupumulia ,kutwa kucha kuleta thread zisizo na tija
 
Back
Top Bottom