Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

Dj Aiman

Member
Dec 21, 2022
23
13
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania.

Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya wasanii wa mataifa mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya Tanzania. Inasemekana kuwa ndiye msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa sana na kupambwa na watu wengi kwa sasa.

Wakati mwingine watu wanazani Diamond ni Freemason,Msanii uyo amekua katika top 3 ya wasanii bora wa Tanzania na Afrika mashariki kwa zaidi ya miaka 10 na top 5 Afrika kwa zaidi ya miaka 7 na watu wanajiuliza amewezaje?.

kuhusu yeye na wanawake warembo,utajiri wake na mafanikio yake kiujumla.Kuna fumbo kubwa kalifumba ambalo leo tunakwenda kulifumbua,Bado watu wanajiuliza mengi sana kwani sio ajabu kukuta Diamond ndiye msanii anayechukiwa zaidi Tanzania lakini bado yeye ndiye mwenye mafanikio zaidi.

Sio kitu cha kushangaza mtu kusema ampendi Diamond nchini Tanzania lakini mtu uyo ananyimbo zake zaidi ya 10 kwenye simu na kwingineko,Diamond amekuwa kama nembo ya Taifa kwa upande mwingine bila watu kujua.

Ni ukweli usiofichika kwamba Diamond Platnum ndiye msanii aliyefanikiwa zaidi Afrika mashariki kimziki na kiuchumi,Watu wengi wanajiuliza aliweza vipi au wengine wanashindwa vipi? lakini awapati majibu.Makala hii siku ya leo itafunua ukweli kiasi tu uliojificha juu ya mafanikio ya msanii huyo.

Mfumo mzima wa usimamizi wa mambo ya Diamond upo chini ya vichwa vitatu ambavyo ni Babu Tale,Mkubwa Fela pamoja na Salam S.K ambao ndo watu wasimamizi wakuu wa uwekezaji wote unaofanyika,hawa ndio mfumo mzima wa mafanikio.

Diamond anafanya Biashara na sio mziki,Ukijaribu kuangalia kwamakini mwenendo na mfumo mzima wa mwanamziki Diamond Platnumz utagundua mambo yake yako kiofisi sana na sio kisanii na hapo ndipo anapowazidi wenzake wengi.

Matumizi makubwa ya akili katika kazi zake, Diamond Platnum anafafanya mambo mengi sana yanayomfanya yeye kuwa juu ya wenzake ambayo nikianza kuayaelezea yote kwa mifano itabidi niandike kitabu lakini itoshe kusema kuwa ndiye msanii Afrika anayetumia akili sana kuliko kipaji na uwezo.

Ukifuatia kwanzia maisha yake binafsi hadi kwenye kazi zake bila akili ya ziada angesha shuka kimziki na kiuchumi lakini wapi.

Hii ni kutokana na kuwa na watu sahihi anaoshirikiana nao katika kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yake binafsi pamoja na kazi zake, Nahapa ndo utaona Diamond afanyi mambo yake kwa kukurupuka bali kwa mipango maalum.

Hapa ndipo maswala kama kiki yanapoingia na mambo mengine mengi ambayo mwisho wasiku Diamond anazikuwa juu yawenzake wengi ambao awana wasimamizi bora na wazoefu kwenye sanaa,wanafanya mziki bila kujua mziki ni biashara kivipi?,Wanakurupuka kufanya vitu bila kutumia akili.

Hili kuweza kumuelewa Diamond itabidi umtazame kwa jicho la mfanya biashara au muwekezani katika sanaa nasio msanii,Hapo utagundua kuwa akuna uchawi wa ndumba bali ni juhudi,nidhamu,usimamizi bora na akili tu.

Zaidi ya yote kuna watu wengi sana wapo nyuma ya mafanikio yake kwa namna moja au nyingine na hapo ndo utagundua kuwa diamond sio msanii bali ni mwekazaji ambaye amekuja kwa jicho la kisanaa na kunawatu wengi sana wanawekeza juu yake ikiwemo wanasiasa.
 
JF kuna option hadi ya kuvote? Ila hapo umesahau kuweka option ya tatu inayoitwa “sijui”
 
images (23).jpeg
 
Diamond platnumz ndie Entertainer mfanya biashara kuwahi kutokea Tanzania. Huwa watu wanajaribu kumlinganisha na watu wa hovyo lakini huyu bwana ameleta CHANGE kwenye music na konyesha jinsi ya ku-add VALUE kwenye sanaaa. He is probably the best popular brand in East and central Africa

Kuhusu Freemason ni excuses za watu masikini
 
Siri kubwa,ni kipaji,kazi kwa bidii,na Baraka za Mungu.
 
Diamond platnumz ndie Entertainer mfanya biashara kuwahi kutokea Tanzania. Huwa watu wanajaribu kumlinganisha na watu wa hovyo lakini huyu bwana ameleta CHANGE kwenye music na konyesha jinsi ya ku-add VALUE kwenye sanaaa. He is probably the best popular brand in East and central Africa

Kuhusu Freemason ni excuses za watu masikini
Nakuunga mkono kwa asilimia 80
 
Akili nyingi san inatumika
 
Attachments

  • Screenshot_20221231-075538.png
    Screenshot_20221231-075538.png
    336.9 KB · Views: 44
Back
Top Bottom