maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

    Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
  2. Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  3. Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Halmashauri Ya Manispaa Ya Mtwara

    Halmashauri ya manispaa ya Mtwara imetenga maeneo mengi kwa ajili ujenzi wa viwanda, hospitali za kisasa, vituo vya michezo, hoteli za nyota tatu, n.k. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo: (a) Ujenzi wa kiwanda cha kusindika nazi na kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la korosho. Mamia ya Mtwara...
  4. Makundi saba Gaza bado yaendeleza vita. Israel yajikuta ikilazimika kurudia kupigana maeneo yale yale iliyoyabomoa mwanzo

    Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia. Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na Ashdod na Isderot. Habari hizo kutoka kwa kundi la Alqassam zimethibitishwa na Israel yenyewe pamoja na...
  5. R

    Kinatafutwa chumba+Sebule+jiko, fully furnished maeneo ya Mwenge

    Habari wakuu Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo ya Mwenge, Dar au maeneo ambayo anaweza kupanda basi moja tu kufika maeneo ya Upanga. Anahitaji kwa...
  6. Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

    Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani. Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia: Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe...
  7. Hifadhi ya Taifa ya Saadani Yatakiwa Kuwa na Mpango Mahususi wa maeneo ya Uwekezaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe.Timotheo Mnzava ameyasema hayo...
  8. MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  9. M

    Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  10. A

    KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

    Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari. Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
  11. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  12. Waziri Dkt. Stergomena aonya uvamizi wa maeneo ya jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) awasili Mkoani Mtwara kutatua kero ya mgogoro wa ardhi kati ya Kikosi cha Jeshi 665 Regt na Wananchi wa Mbae Mashariki eneo ambalo limevamiwa na kujengwa makazi. Akizungumza na wananchi waliojitokeza katika...
  13. Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  14. RC Mwanamvua MRINDOKO Awataka Watumishi wa Umma Kusimamia na kutunza Mali na Maeneo ya Taasisi za Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua MRINDOKO amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi za serikali kutunza mali na maeneo yote wanayoyasimamia ili yasivamiwe. RC Mhe. Mwanamvua MRINDOKO ameyasema hayo katika mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika tarehe 05 Machi, 2024...
  15. Maeneo 38 kukosa huduma ya Maji kwa zaidi ya Saa 36 jijini Dar, kutokana na maboresho ya kuondoa tope kwenye Mtambo wa kuzalisha maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024 Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
  16. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  17. Kanali Laban awahimiza Watanzania kuwekeza katika maeneo ya Malikale

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amewahimiza Watanzania na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo ya Malikale ambazo zimetunza historia maridhawa ya nchi yetu, Aliyasema hayo leo tarehe 27.02.2024 katika Kilele cha Tamasha la Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita vya...
  18. Ajifungua na kutupa kichanga maeneo ya Shule

    MWANAMKE ambaye hajafahamika jina lake na anayedaiwa kuwa ana ulemavu wa akili, amejifungua mtoto mchanga kisha kumtupa kwenye eneo la shule ya msingi Msali "A" iliyopo kijiji cha Ngararambe kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, huku baba wa mtoto huyo akiwa hajulikani...
  19. Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…