maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Kurejesha Mawasiliano Maeneo Yaliyoathiriwa na Mvua

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na athari za mvua hasa katika barabara za wilaya ili kuhakikisha barabara hizo zinapitika. Mhe. Katima...
  2. Mnzavatekina

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi katika kilimo na maeneo ya kilimo

    Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania. Hali hii inatupa uhalisia na yakini kwamba...
  3. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  4. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania KERO Ukatili dhidi ya wakazi maeneo karibu na reli ya SGR

    Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire. Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi...
  5. nasri713

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kuhimiza maendeleo maeneo ya vijijini

    Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

    Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu. Halafu mbona kama watu...
  7. Hot27

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayefahamu shule nzuri maeneo ya viwege

    Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu maeneo ya Mwananyamala. Kutokana na hali ilivyo tunatazamia kuweza kuwahamisha iliwawe karibu na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikutano ya CCM inayoendelea kufanyika kwenye stendi za mabasi ni kinyume na taratibu. Tusigeuze stendi za mabasi kuwa viwanja vya mikutano ya siasa

    Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
  9. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

    Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani? Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure. Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi? Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni. - DOKEZO - Malalamiko...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu. Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  14. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

    Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection za uvuvi maeneo ya Dar

    Habari Wana jf, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu. Phone number 0785598033
  16. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haki ya kuabudu kwa walemavu wa kusikia

    Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania. Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya makusanyiko ya kijamii Walemavu wa kusikia wanakutana na changamoto kadhaa katika maeneo ya ibada...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  19. O

    JamiiForums Tanzania KERO Madampo ya taka maeneo ya sokoni ni kero

    Nashindwa kuelewa ni kwanini madampo yako pembezoni ya masoko isitoshe mabwana afya wapo na ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali. Aidha unakuta fremu ipo karibu na dampo laki bado mfanyabiashara wa hapo anatoa hela ya taka ilhali anapeleka mwenyewe uchafu dampo. Imekaaje hi wadau?
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kilimo cha mboga mboga maeneo ya mjini

    Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa. Pia ni...
Back
Top Bottom