maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Mdala Samia

    JamiiForums Tanzania Maendeleo huletwa na watu, kazi, siasa safi pamoja na Uongozi Bora

    Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika. Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO / UCHUMI n.k ambapo lazima utengeneze muunganiko imara wa mambo yafuatayo ambayo ndiyo Samia Suluhu...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh. milioni 11 katika miradi ya maendeleo katika vijiji

    Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh. milioni 11 katika miradi ya maendeleo katika vijiji vya ujenzi wa nyumba ya daktari wa wilaya hiyo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zake kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Aidha Lowasa alisema fedha hizo ni mchango wa ofisi yake kwa kushirikiana na...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sera tunayoitaka Kujiajiri katika fani uliyosomea kwa maendeleo endelevu ya sayansi na teknolojia nchini

    Katika hili lazima tuwe wawazi. Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani. Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa kuendesha bodaboda. Jamani hata serikali ina support kujiajiri kwa namna hiyo. Hii ndio sera...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  5. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

    Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali. Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
  6. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Kozi ya Maendeleo ya Jamii

    Mwenye uelewa na hii kozi ya maendeleo ya jamii(community development) inayotolewa SUA anasaidia ni wapi utafanya kazi na je ni kozi yenye soko kwa sasa?
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Haki na maendeleo havichangamani

    Wazungu waliendelea na kukusanya mitaji kwa kuvunja haki za watu wengi sana, na wanaendelea kuvunja haki za watu ili kuendeleza maendeleo yao na mitaji. Wachina, Warusi, Israel, Mzee Kagame na baadae JPM waliligundua hilo pia. Huwezi kujali haki za walipa kodi, watumishi, wanasiasa na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar walianza kumiliki Runinga kabla ya Tanganyika, tutegemee maendeleo makubwa kwa Rais Samia

    Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani. Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

    Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo. Zilikuwa...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  11. bahati93

    JamiiForums Tanzania Haki ni jambo la msingi kuliko maendeleo

    Asalamu watu wa jamii na jambo langu nataka niwe wasemeshe. Ni kuhusu HAKI. Haki ni kitendawili Kadiri upeo wa mwanadamu inavyoongezeka na ndivyo hivyo inakuwa ngumu kutegua fumbo hili HAKI ni nini, nani asimamie HAKI. Haki imekuwa ikifikiriwa na kutafsiriwa na jamii mbalimbali tangia zama za...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Uwanja unaochezwa Ramadhani Cup unaoitwa Jakaya Kikwete ulioko Kariakoo umejengwa na nani?

    Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe? Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania New Vacancies (2) At Maendeleo Bank, April 2021

    1. JOB TITLE: Recovery Officer Location : Dar es Salaam Reports To Senior Recovery Officer Qualifications ● Bachelor Degree, preferably in Business studies, Law, Economics and/or finance ● Ability and willingness to work in a team ● Computer literacy; word, Excel ● Fluency in English , good...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Taifa linalotaka maendeleo, ni lazima lizingatie uadilifu

    TAIFA LINALOTAKA MAENDELEO, NI LAZIMA LIZINGATIE UADILIFU Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala unotawala hivi sasa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii nchini, ni kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambayo imeibua mambo mengiambayo yanaonyesha kwamba baadhi ya...
  16. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tukiwaendekeza Kibajaji na Msukuma hakika maendeleo tutayasikia kwa wenzetu

    Nimesikia vizuri mchango wa Prof. Muhongo bungeni na kutafakari kwa makini. Nilichosikia ni takwimu na maelezo yaliyoshiba ukweli na uhalisia wa hali ya sasa ya dunia. Amechambua namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza kuinua uchumi wetu kama tutazitumia vizuri na kwa wakati. Muhongo ametoa...
  17. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Aibu yetu: Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda

    Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda. Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushirikishwa kuchagua miradi ya maendeleo katika eneo lako?

    Kanuni ya 168 (1)(a) ya Kanuni za Manunuzi wa Umma za Mwaka 2013 inataka ushiriki wa jamii katika kubuni miradi kwa nia ya uendelevu au kufikia malengo husika ya kijamii ya miradi. Ripoti ya CAG imeeleza, hakukuwa na ushahidi wowote unaoonesha ushiriki wa jamii husika katika uchaguaji wa mitadi...
  19. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Riba za bank za Tanzania ni kikwazo cha maendeleo

    Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni. Riba ikiwa kubwa biashara ndogo ndogo hazitaweza kukopa hivyo haziwezi kuwekeza kwenye ukuaji wa biashara. Hii inasababisha ajira...
Back
Top Bottom